Kaka yake Heaven Sent

Kaka yake Heaven Sent

unapenda kudeka aiseee hebu mwache kakaangu ali relax

Heee eti nimwache nisipomdekea yeye nimdekee nani sasa?? Na yeye ndo kanizoesha akiona sideki ananikumbusha....ni mimi pekee ndo nna haki ya kudeka kwake....
 
hahahaha mahaba nipoteze deka mwaya wewe ndo mmiliki halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom