Kaka utaiweza kasi ya Magufuli?

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
203
unapenda sana starehe kwa kweli

 

Attachments

  • makamba.jpg
    33.1 KB · Views: 5,113
unapenda sana starehe kwa kweli


Yaani kwa tabia hii inaku-disqualify kabisa kabisa kutumikia ofisi yoyote yenye maadili na inayojiheshimu.Sio kwenye ngazi ya uwaziri tu bali hata ofisi yoyote hata ya mtu binafsi.Very unprofessional

Hata Bar zinazoheshimika au zenye wateja wanaojiheshimu haziwezi kuruhusu wateja wenye tabia hii
 
Yaani nimepata mashaka makubwa sana na huyu magufuli baada ya kumpa wizara huyu mr kipara..
maigizo ya hapa kazi tu yameanza kuisha
 


Hiyo ni ofisi yake,
Ofisi ya mbunge,
 
Hiyo ni ofisi yake,
Ofisi ya mbunge,

Ofisi yake ni ipi hasa?
Ofisi ya Mbunge ni yake binafsi au ni mali ya wananchi waliomchagua?
Hivyo ndio Mtu mwenye ofisi yake binafsi anapaswa kufanya ndani ya ofisi?
 
duh kiukweli hii haijakaaa vizur hata kidgoo
 
Huyo jamaa anaweza kuweka miguu hata kwenye Meza ya chakula!
 
Ofisi yake ni ipi hasa?
Ofisi ya Mbunge ni yake binafsi au ni mali ya wananchi waliomchagua?
Hivyo ndio Mtu mwenye ofisi yake binafsi anapaswa kufanya ndani ya ofisi?


Ofisi yake iko Dar, ni binafsi
Ya mbunge inayolipiwa na nyie wana nchi iko huko Bumbuli.

Mwacheni afanye atakavyo
 
Kwanza alikuwa ametupwa nje ila kamati ya chama juzi ikamusihi rais kutomuacha kwani italeta mpasuko ndani ya chama na hivyo kumpa mwanya edward lowasa na wafuasi wake washangilie.ndo maana kampeleka kushughulikia migororo zanzibar. Chama kinamuingilia sana ingawaje anajitahidi kufa kiume.sisi wananchi wakawaida nje ya ccm anatutegemea sana kumpa rais support
 
Rais wa wanyoa vipara karoga sana hadi karudi ashukuru kamati ya CC kumletea majina magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…