Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
ha ha ha ha,Hata kama,Inaonyesha hadhi ya ofisi
Sidhani kama unaelewa unachokiongea labda unaongelea ofisi za wanywa viroba?
ha ha ha ha,Hata kama,Inaonyesha hadhi ya ofisi
Sidhani kama unaelewa unachokiongea labda unaongelea ofisi za wanywa viroba?
Mleta mada kahoji jambo la msingi kabisa kwamba ana mashaka kama huyu Makamba atakwenda na kasi ya hapa kazi tu. Lakini jamaa wa CCM hapa wanamwona kama kamtukana mfalme wao.
Kwanza kimaadili ya ofisi za kitanzania ni kunajisi ofisi kwa kuweka viatu ambavyo umetoka navyo chooni, choo zetu nyingi ni chafu. Iangalie soli ya kiatu hicho ina usafi gani wa kuwekwa juu ya meza?
Na kuchati kwenye simu nako na kazi atafanya saa ngapi?
Hata kama chupi ni yako huwezi ivaa juu ya suruali. Nidhamu ya kiongozi ni popote awapo
You must be one hell of a perfect man!
![]()
Kweli kabisa mkuu bila kuwasahau wale wanaoingia nyumba za ibada na viatu yaani Duniani kuna watu wa ajabu sana.
Umeiona picha ya Obama hapo juu?
Watu mnavituko..wewe na utamaduni wako na umasikini wa taifa lako unajifananisha na wamarekani..kweli ukilaza ni kipaji
yaani kwa tabia hii inaku-disqualify kabisa kabisa kutumikia ofisi yoyote yenye maadili na inayojiheshimu.sio kwenye ngazi ya uwaziri tu bali hata ofisi yoyote hata ya mtu binafsi.very unprofessional
hata bar zinazoheshimika au zenye wateja wanaojiheshimu haziwezi kuruhusu wateja wenye tabia hii
Vilaza ni nyinyi mnaoona kuweka miguu juu kunashusha utendaji wako! Nyinyi msioweka miguu juu mmefanya nini cha ajabu?? Kujidai mnaakili tu mitandaoni in reality hamna lolote njaa tu.
Kweli kabisa mkuu bila kuwasahau wale wanaoingia nyumba za ibada na viatu yaani Duniani kuna watu wa ajabu sana.
Huwa anamuiga Obama vitu vingi tu hata uvaaji na ukunjaji wa mikono.
Kwahiyo unajifananisha na obama sio? watanzania mna shida gani..
sisi tofauti na wamarekani..eti hakuna ya aja magu kujua kingereza kwasababu ata raisi wa china hajui..ni vichekesho
Yaani nimepata mashaka makubwa sana na huyu magufuli baada ya kumpa wizara huyu mr kipara..
maigizo ya hapa kazi tu yameanza kuisha
Kwahiyo unajifananisha na obama sio? watanzania mna shida gani..
sisi tofauti na wamarekani..eti hakuna ya aja magu kujua kingereza kwasababu ata raisi wa china hajui..ni vichekesho