Kaka utaiweza kasi ya Magufuli?

Kaka utaiweza kasi ya Magufuli?

nilikuwa najiuliza sana kwa nn ndoa za vjana cku hzi hazidum? nikaja kugundua kuwa wengi wanaoingia ktk ndoa walikuwa wanaigiza ktk kpnd cha uchumba sasa wamefunga ndoa ndo kila m2 anarudi ktk tabia yake orignal maigizo yamekwisha so nadhan kpnd cha uchumba kmekwisha sasa ccm wanarud ktk original yao cjawah kuona one men show ikadum hata dakika 90 ningeshangaa kama ingeweza kudum japo miaka 2
 
Kwanza alikuwa ametupwa nje ila kamati ya chama juzi ikamusihi rais kutomuacha kwani italeta mpasuko ndani ya chama na hivyo kumpa mwanya edward lowasa na wafuasi wake washangilie.ndo maana kampeleka kushughulikia migororo zanzibar. Chama kinamuingilia sana ingawaje anajitahidi kufa kiume.sisi wananchi wakawaida nje ya ccm anatutegemea sana kumpa rais support

Kwani viongozi wa chama chenu wameshamtambua JPM?
 
Nyie ni njaa zenu tu. Kwenu uwa hamuweki miguu Juu ya meza? Elimu, elimu, elimu
 
Ahaaaaa apeleke ulevi uko .ofis yangu binafsi binafis nikitaka nalala
 
Ndo ashakua hivyo.
Chuki zako ni bure tu kwa sasa.

Nawe karoge basi
Hebu ficha upumbavu wako,
Nani anamuda wa kumchukia huyu rais wa wanyoa vipara mwizi wa mitihani ya form four
Na usiniquote mana sitakujibu
 
Nyie watz sijui mkoje, acheni waliochaguliwa wafanye kazi.. Mlitaka achaguliwe nani sasa!?
 
Baba yangu alikuwa mkulima mdogo (peasant) lakini nikaongeza bidii baada ya baadhi ya watu kuniaminisha eti 'with efforts you can become whoever you want', sikujua kuwa hiyo inawezekana kwingineko na sio Tanzania. Hapa bwana kana baba ni DC wewe unakuwa RC no matter what or how!
 
Mleta mada kahoji jambo la msingi kabisa kwamba ana mashaka kama huyu Makamba atakwenda na kasi ya hapa kazi tu. Lakini jamaa wa CCM hapa wanamwona kama kamtukana mfalme wao.

Kwanza kimaadili ya ofisi za kitanzania ni kunajisi ofisi kwa kuweka viatu ambavyo umetoka navyo chooni, choo zetu nyingi ni chafu. Iangalie soli ya kiatu hicho ina usafi gani wa kuwekwa juu ya mez
a?

Na kuchati kwenye simu nako na kazi atafanya saa ngapi?
 
Yaani kwa tabia hii inaku-disqualify kabisa kabisa kutumikia ofisi yoyote yenye maadili na inayojiheshimu.Sio kwenye ngazi ya uwaziri tu bali hata ofisi yoyote hata ya mtu binafsi.Very unprofessional

Hata Bar zinazoheshimika au zenye wateja wanaojiheshimu haziwezi kuruhusu wateja wenye tabia hii


You must be one hell of a perfect man!

attachment.php
 
Safi kabisa bro. Hivi with wakoje? He mnafahamu madhara ya kukaa mbele ya kompyuta huku umekunja miguu?(jamaa ni mrefu ati). Mbona hsifii hiyo maktaba hapo nyuma. Mawaziri wangapi(read: viongozi wangapi) wana maktaba zaidi ya kujaza misahafu ya ripoti za mihutusari ya tume, kamati nk.?
 
Yaani kwa tabia hii inaku-disqualify kabisa kabisa kutumikia ofisi yoyote yenye maadili na inayojiheshimu.Sio kwenye ngazi ya uwaziri tu bali hata ofisi yoyote hata ya mtu binafsi.Very unprofessional

Hata Bar zinazoheshimika au zenye wateja wanaojiheshimu haziwezi kuruhusu wateja wenye tabia hii

huna lolote wivu tu umekujaa. Acha wenye bahati zao wafanye kazi
 
Hivi humu ni nani anayeweza kusema mda wote yeye huwa smart hata kucha na nywele hazigusi akiwa ofisini? naamini ofisi ni ofisi na ina miiko yake lakini ukipita kwenye viofisi vyenu utakuta huyu anapaka rangi kucha, yule anacheki pono, huyu anaseti nywele kana kwamba yuko saluni n.k. Wengine tunakutana nao kanisani wako na simu zao wanachart wakati ibada inaendelea, watanzania mlio wengi tena nyinyi dot.com ni ziro.
 
Huwa anamuiga Obama vitu vingi tu hata uvaaji na ukunjaji wa mikono.
 
Back
Top Bottom