Kaka Shaffih Dauda nimesoma andiko lako

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimyainatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii??
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother!
 
Kila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
 
Hilo andiko lake hujaandika, ungeweka ili nasi tusome tupate changia, ni vema ungeenda kujibu huko ulipoliona.

Hii ni sawa na kutupigia kelele kwa MAANDISHI 🤣😂
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimyainatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii??
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother!
Nikifanya reference kwenye suala la Ndondo cup na umuhimu wake, ninaungana na wewe kukiri kuwa Manara halingani hadhi na Dauda. Dauda ni far more superior kwa Manara mara elfu. Manara hana hata robo ya hadhi ya Dauda.
 
Huyu mleta mada ni mpumbavu, alichosema ni kwamba lazima sheria ifuate mkondo bila kujali huyu ni wa Simba au huyu ni wa Yanga, huyu mpuuzi mwenzenu aliamini na kuwaamisha kwamba kutokana na ulemavu wake anaweza kufanya lolote na asiguswe ndio maana amekuwa na mfululizo wa makosa ya kujirudia rudia
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimyainatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii??
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother!
 
Kwa wale ambao hamkuona andiko la Shaffii Dauda amezungumzia jinsi usimba na uyanga unavyoharibu mpira wetu.

Amesema sheria lazima ifuatwe kwa wale wanaofanya makosa ambao ni watu wa mpira, na wanapoadhibiwa asitokee mmoja akaonekana yupo juu ya sheria aanze kutetewa hata kama alikiri mwenyewe kukosea.

Huyu mleta mada kwa muktadha wa andiko la Shafii ndio kati ya wale wajinga wachache walioathiriwa na Usimba na Uyanga kwenye vichwa vyao, hawa vilaza ndio chanzo cha kudumaza huu mpira wetu.

Niko upande wa Shafii, kama mleta mada unamuona Manara yupo juu ya sheria za mpira wetu, hagusiki hata kama akikiri kukosea, nenda nyumbani kwake ukamuoshee vyombo kwani huna akili za kuchambua mambo kwa weledi.
 
Back
Top Bottom