Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
- Thread starter
- #61
Yani we niite kabisa dada yeye ndiyo sitaki coz nimemuelewaHata Mimi ni mpare ,naruhusiwa kukuita "Dada"
?
Yani we niite kabisa dada yeye ndiyo sitaki coz nimemuelewaHata Mimi ni mpare ,naruhusiwa kukuita "Dada"
?
Hahaa haya buana,umr wako plz kama hautajari?Yani we niite kabisa dada yeye ndiyo sitaki coz nimemuelewa
hahaaLeo ndo nimeelewa kwa nini shetani alichagua kumdanganya Eva na sio adamu pale bustanini edeni ...dah wanawake bana
Hata haiusiani mkuuHiyo id yako sasa !!... Naona imefanana kabisa na ulicho kiwasilisha hapa
nitakuwa wa mwisho kuamini madameHata haiusiani mkuu
nilishaisoma ramani, hebu njoo pm nikwambie kitu kitamu rafikiinabidi tu nimwambie yan sijui asomi ramani
Kaka kwenye milima ya upare mjini ebu tubadilishe
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hilo ni tunda la uzimaHiyo id yako sasa !!... Naona imefanana kabisa na ulicho kiwasilisha hapa
Muulize anataka kukunyima nn?Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Dada WashindadheeeHabari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Kaka kwenye milima ya upare mjini ebu tubadilishe
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app




Dada, kio chedi.Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa