Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Nimetoka kusoma nyuzi kadhaa za mjadala wa Sirro vs MO nimeingia ktk huu uzi wako nimejikuta huzuni imeniponyoka nikacheka kama mwehu. Dada nitafute basi.Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
nifundishe kipare
Si umbake, huyo nae anazingua. Kama vip mm ntakushikia kama anakuzidi nguvu
Kaka kwenye milima ya upare mjini ebu tubadilisheWapare kwa kupenda chini yani ushamtamani kaka yako
Nimetoka kusoma nyuzi kadhaa za mjadala wa Sirro vs MO nimeingia ktk huu uzi wako nimejikuta huzuni imeniponyoka nikacheka kama mwehu. Dada nitafute basi.
Namnaani
Namnaani
Usione so ,sema nae
Hata Mimi ni mpare ,naruhusiwa kukuita "Dada"Alivyokomaa kuniita Dada tena kwa heshima zote hapo ndo nashidwa
HahaaSi umbake, huyo nae anazingua. Kama vip mm ntakushikia kama anakuzidi nguvu
HahahaaHabari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa