Kaka na Dada wakutwa wakifanya Ngono namke/wifi!

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Hii imetokea mjini Babati jana,ambopo dada alishawishiwa na kaka yake kwa sh-50000,ambaye ameoa na mkewe alikuwa kasafiri!Ghafla mke alirudi ghafla bila yawao kutarajia nakuwakuta kama walivyozaliwa chumbani kwake!
 
Hii imetokea mjini Babati jana,ambopo dada alishawishiwa na kaka yake kwa sh-50000,ambaye ameoa na mkewe alikuwa kasafiri!Ghafla mke alirudi ghafla bila yawao kutarajia nakuwakuta kama walivyozaliwa chumbani kwake!

umri wa dada plz, je ni muiraq au maana wambulu ni kitu cha kawaida
 
umri wa dada plz, je ni muiraq au maana wambulu ni kitu cha kawaida

Kwakweli umri wadada nanikabila gani havikuwekwa wazi!Ila mpaka sasa mke amehama nyumba kwamadai ameona hamtimizii vyakutosha ila dada yake ndie anatiza hivyo kaamu kupisha nayupo kwamajirani ambao wanamsihi arudi kwamume ikiwezekana wifi afukuzwe hapo nyumbani!Chapo wapo radio kipindi patapata leo asubuhi.
 
Dada mtu mwongo...eti kanipa ka fifty. Awe mweli tu,hao tangia utotoni ndo zao. Though sad lakini ukweli ndo huo,incest is just too common katka familia nyingi duniani.
 
ukiwa na watoto wa kike na wa kiume, anza kuwafundisha kuheshimiana kuanzia wakiwa wadogo, uwe macho nao na waweke kwenye mazingira ya kutozoeana sana na kaka au dada zao, kwasababu watu wengi mapenzi wameanza kufanya na kaka/dada utotoni hasa kuanzia wakiwa shule za msingi, sasa wakiwa karibu sana kama hisi familia za mijini, nakwambia wanakuwa wanafanya mara kwa mara hadi mtu anaoa/anaolewa ndo wanaacha....nimemwona dada mmoja wa rombo, ana miaka 35, hadi leo hii anafanya ngono na kaka yake, yeye amepanga chumba kimoja, lakini kaka yake anaweza akaja anapaki gari pale, anakaaa mle ndani hadi saa saba usiku ndo anaondoka, ukiingia unakuta kaka kajimwaga sana amevua shati yuko kifua wazi, na mazingira unaona kama vile mtu na mkewe jinsi walivyozoeana na walivyopendana.huyo dada hadi leo haolewi, nafikiri anajikumbushia vya utotoni kwa kujisevia kakake. TENGANISHENI WATOTO, WAWEKENI KTK MAZINGIRA KUMWONA KAKA/DADA YAKE KAMA MKWE..sisi kwetu, siwezi kabisa hata kumhug dada yangu, naona kama mkwe wangu vile,kuna mipaka mikubwa sana.
 
Back
Top Bottom