Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

nimeona kwenye ule uzi wa mtongozano.
ameandikwa yeye na Nyani Ngabu

Hapana, iliandikwa kimakosa tu kwa kutumia makisio. Simjui huyo mtu zaidi ya kumwona tu humu JF. Na hata ukirudi kuisoma tena hiyo nyuzi, kwenye michango yangu nilikana kuwepo kitu kama hicho tokea awali kabisa. Kama sikosei nilifanya hivyo mwezi wa kwanza mwishoni au wa pili mwanzoni.

Aliyeandika ni yeye au Nyani ngabu?

Hapana, sijawahi kuandika kitu kama hicho.

nadhani ni yeye na kiwatengu

Hapana, mimi sijawahi kuandika kitu kama hicho kwa sababu hakijawahi kuwepo, kamwe.

"Yeye" ni nani?

Hakika "yeye" si mimi. Sijui kwa nini tu watu hupenda kudhani kuwa ni mimi.
 

ni yeye kweli, ameonekana sehemu nyingi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…