Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,761
iTunes Link: Marry You (feat. Ne-Yo) - Single by Diamond Platnumz on Apple Music
*******.............................................................................*******
Nakumbuka kuna interview uliwahi kufanya ukasema utaratibu wako ni kwamba mtu ukifanya naye collabo naye anapaswa kuufanyia promo huo wimbo. Nadiriki kukupigia salute kwa hiki ninachokiona kwenye Instagram page ya Neyo. *******.............................................................................*******
Heshima kwako brother, haya ndiyo mapinduzi ya kimuziki tunayoyataka. Daaah, ama Mungu ni wa wote, leo Neyo anaupigia promo wimbo wa mtoto wa Tandale, ahsante Mungu. Ni 2009 tu Diamond ndio alianza kusikika, leo 2016 yupo level hizi, kweli kujituma ndio siri ya mafanikio.