Wcb wazee wa kununuaNeyo kanunuliwa...
Wcb wazee wa kununuaNeyo kanunuliwa...
Acheni kumpa faraja za kijinga, hivi anachoimba Diamond na Wiz kid ni sawa?Mr.Ebbo r.i.p alikuwa anaishi Tanga na alikuwa anatoa hit songs, vipi kuhusu Shakira nae pia anaishi U.S.A?
Aisee sasa kwanini isiwezekane kufika huko? Nani alijua wizkid atafika alipo leo?
Badala tumpe moyo mwenzetu yaani jitu linajitutumua kukatisha tamaa kama lenyewe ndio linagawa riziki vile!!
Tujifunze kuwapo moyo wote wanaojaribu kufanya vizuri
majini maimuna hamkosekani....
Una hasira balaaa.....maana unatokwa povuuuuu hilo hatari sanaAcheni kumpa faraja za kijinga, hivi anachoimba Diamond na Wiz kid ni sawa?
Izi kokoro, sangoro hata nikikuuliza maana yake hujui ndio uchafu uwe hit za dunia. Over my dead body ooo
Eti unamfananisha na shakira, sema hata westlife walitoka wakiwa wingereza lakin wanaimba kitu ambacho usipopenda melody basi utapenda maneno
Sasa sangoro hz wabongo tu hatuoni msg itakiwa dunia? Pili Mziki anaoimba diamond unabeba identity ya nigeria maana wanaiba vionjo, wapi na wapi? Kutoka kiafrika afrika aliwaitaji wanaijeria kumpa kick alafu leo umfananishe na wiz kid
Mwisho lugha anayotumia wiz kid hata awe na lafudhi ya kinaijeria lakin msg yake inafika kiurahs. Achen kumpa kichwa bw. Mdogo ana safari ndefu sana na sioni akitoboa maana mziki una maisha mafupi ukizingatia anafika ukomo saiz. Melod zake ni zilezile hana mpya siku hzi
Hasira kivip kwa lipi? Natoa fact msizotaka kuziona. Niwe na hasira ananilisha mwanamziki mimi? Sikukimbia umande nina shule na maisha sina wivu wa kimasikini ila naona ujinga sana wa kitanzania. Huyu bw. Mdogo mnampoteza kwa sifa za kijingaUna hasira balaaa.....maana unatokwa povuuuuu hilo hatari sana
Kimataifa tu, kiba anapenda kuweka low profile.Hapendi kujionesha kwa maana anakataa collabo? Mbona collabo za ndani anafanya inamaana hapo hajioneshi?
Kati ya wasanii ma genius bongo domo namba moja coz achievement zake na muda aliokaa kwny game ni ishara tosha kuwa jamaa akili mingiHasira kivip kwa lipi? Natoa fact msizotaka kuziona. Niwe na hasira ananilisha mwanamziki mimi? Sikukimbia umande nina shule na maisha sina wivu wa kimasikini ila naona ujinga sana wa kitanzania. Huyu bw. Mdogo mnampoteza kwa sifa za kijinga
Mnafanya anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Na anaanza kuharibu
Kama hujui kiinglish ulijuaje kwamba hilo neno linamaanisha kuoana,acha unafiki uchwara,na kama hujui kiinglish nani kakuambia hicho ni kiinglish,kwataarifa yako hiko ni kimakuaMimi sijui Kiingilishi, kwa hiyo huo wimbo unamaanisha nani anamuoa mwingine!?
Lugha sidhani ni tatizo kwa Diamond kutofanikiwa worldwide, wacongo walitusua na kizaire+french. Bongo tuliipenda miziki ya kikongo pasi na kujua tafsiri kinachoimbwa. Cha muhimu ni kumtia moyo afanye mziki mzuri tu atafanikiwa, na wabongo walivyo wanafiki Diamond akibadilisha lugha aimbe kwa kutumia English pia mtakuja leta uzi wa kumponda kama sasa hivi mnavyomponda eti anaiga mziki wa kinaigeria. Huo mziki wa bongo wenyewe identity yake haitambuliki sijui mziki wa bongo ni upi singeli, taarab, mduara, mdumange, mchiriku, rnb,zhouk,dansi,etc. Mnaosema dai anaikacha identity ya bongo na kufanya wa kinaigeria hebu wekeni mfano wa nyimbo hapa ambao ni identity ya bongo then ndo tuanze kumsema Diamond kwa kukimbia identity ya bongoAcheni kumpa faraja za kijinga, hivi anachoimba Diamond na Wiz kid ni sawa?
Izi kokoro, sangoro hata nikikuuliza maana yake hujui ndio uchafu uwe hit za dunia. Over my dead body ooo
Eti unamfananisha na shakira, sema hata westlife walitoka wakiwa wingereza lakin wanaimba kitu ambacho usipopenda melody basi utapenda maneno au lugha anayotumia itakuunganisha nae
Sasa sangoro hz, wabongo tu hatuoni msg itakuwa dunia? Wimbo wa diamond asipokubamba kwa melod kama si mzungumzaji wa kiswahili, basi akushiki popote maana msg hakuna, lugha anayotumia 90% ya dunia hawaijui.
Pili Mziki anaoimba diamond unabeba identity ya nigeria maana wanaiba vionjo, wapi na wapi? Kutoka kiafrika afrika tu aliwaitaji wanaijeria kumpa kick alafu leo umfananishe na wiz kid, akiimba tu wanajua he is from nigeria
Mwisho lugha anayotumia wiz kid hata awe na lafudhi ya kinaijeria lakin msg yake inafika kiurahs. Achen kumpa kichwa bw. Mdogo ana safari ndefu sana na sioni akitoboa maana mziki una maisha mafupi ukizingatia anafika ukomo saiz. Melod zake ni zilezile hana mpya siku hzi
Kweli unachuki na Diamond,Hizo chuki zako hazikufikishi popote.Diamond ataendelea kuwa juu!Tandale siku hizi kunaitwa Ndola..
ha haaa haaaa walishaturahisishia wenzetu waliosema wivu wa kike!Acheni kumpa faraja za kijinga, hivi anachoimba Diamond na Wiz kid ni sawa?
Izi kokoro, sangoro hata nikikuuliza maana yake hujui ndio uchafu uwe hit za dunia. Over my dead body ooo
Eti unamfananisha na shakira, sema hata westlife walitoka wakiwa wingereza lakin wanaimba kitu ambacho usipopenda melody basi utapenda maneno au lugha anayotumia itakuunganisha nae
Sasa sangoro hz, wabongo tu hatuoni msg itakuwa dunia? Wimbo wa diamond asipokubamba kwa melod kama si mzungumzaji wa kiswahili, basi akushiki popote maana msg hakuna, lugha anayotumia 90% ya dunia hawaijui.
Pili Mziki anaoimba diamond unabeba identity ya nigeria maana wanaiba vionjo, wapi na wapi? Kutoka kiafrika afrika tu aliwaitaji wanaijeria kumpa kick alafu leo umfananishe na wiz kid, akiimba tu wanajua he is from nigeria
Mwisho lugha anayotumia wiz kid hata awe na lafudhi ya kinaijeria lakin msg yake inafika kiurahs. Achen kumpa kichwa bw. Mdogo ana safari ndefu sana na sioni akitoboa maana mziki una maisha mafupi ukizingatia anafika ukomo saiz. Melod zake ni zilezile hana mpya siku hzi
Mkuu labda tu nianzie kwa kukuuliza unafuatilia muziki wa Diamond? Maana isije ikawa unacriticize mtu ambaye hujui keshapiga show nchi ipi na ipi, anakubalika nchi ipi na ipi.Acheni kumpa faraja za kijinga, hivi anachoimba Diamond na Wiz kid ni sawa?
Izi kokoro, sangoro hata nikikuuliza maana yake hujui ndio uchafu uwe hit za dunia. Over my dead body ooo
Eti unamfananisha na shakira, sema hata westlife walitoka wakiwa wingereza lakin wanaimba kitu ambacho usipopenda melody basi utapenda maneno au lugha anayotumia itakuunganisha nae
Sasa sangoro hz, wabongo tu hatuoni msg itakuwa dunia? Wimbo wa diamond asipokubamba kwa melod kama si mzungumzaji wa kiswahili, basi akushiki popote maana msg hakuna, lugha anayotumia 90% ya dunia hawaijui.
Pili Mziki anaoimba diamond unabeba identity ya nigeria maana wanaiba vionjo, wapi na wapi? Kutoka kiafrika afrika tu aliwaitaji wanaijeria kumpa kick alafu leo umfananishe na wiz kid, akiimba tu wanajua he is from nigeria
Mwisho lugha anayotumia wiz kid hata awe na lafudhi ya kinaijeria lakin msg yake inafika kiurahs. Achen kumpa kichwa bw. Mdogo ana safari ndefu sana na sioni akitoboa maana mziki una maisha mafupi ukizingatia anafika ukomo saiz. Melod zake ni zilezile hana mpya siku hzi
Kuna wanaohamia marekani baada ya kuwa maarufu. Mbona wengi tuu, na wanafanya vizuri. You will never know, unless you try. Tupeane moyo jamani.Kwa haraka cha kujiuliza ni Ne-yo ndio kusema kaupenda sana huu wimbo?
Kwa nini au promote? Jibu utakalojipa ndio sahihi kwako.
Uwezo wa diamond kuwa global ni mdogo sana. Aongeze umaarufu tu lkn kuwa msanii wa dunia kama akina Ne-Yo ni ndoto za mchana
Kwanza uwezi kutoka kama hauishi marekani, ni sawa na kutoka ukiwa mkoani bila kuja dar ni ngumu
Pili tujue kwasasa kufanya Collabo na wasanii wa nje ni easy tofauti na zamani, zamani kumuona Ne Yo haya kwenye stage za mziki nchi kama Tanzania ni ishu leo utandawazi na kutafta pesa msanii level za dunia kukipa shavu ukimlipa ni easy tu
Kama P-square bado hawajawa global ndo itakuwa Diamond?
Level zake mwisho nigeria na mha mwenzie Alikiba
Tuzo za mchangani hazina ishuMbona hujampongeza yule braza yako mwingine kwanza maana juzi karamba tupo tatu,
Au unapendelea?
Ukiamua kupongeza pongeza kaka zako wote kwa juhudi zao,
Au ndo kusema Huna taarifa na hizo tuzo?
"Hard work forever pays wandugu"
Nimeona diamond akiwa studio anatengeneza ile kazi ya Salome..yaani director yeye, mtunzi yeye, mpinga ngoma yeye, producer yeye n.k
Unaiona kabisa dhamira yake ya dhati ya kutaka kufanikiwa beyond expectations za watu....he is aggressive in a positive way.
Go Diamond sky is the limit....spread your wings and fly as high as you can.
Mkuu Mayote si hapo Commoro waswahili kibao na kingazija na kiswahili vinaingiliana, na wanapenda miondoko ya pwani ndio maana wanaimba sana nasema nao. Na nikupe taarifa ya ziada kuwa hata nyimbo za hadija kopa pale mayote zinaimbwa balaaMkuu labda tu nianzie kwa kukuuliza unafuatilia muziki wa Diamond? Maana isije ikawa unacriticize mtu ambaye hujui keshapiga show nchi ipi na ipi, anakubalika nchi ipi na ipi.
Diamond keshapiga show kwenye baadhi ya nchi ambazo hawajui hata kidogo Kiswahili kama mayote, Zimbabwe na Nigeria na amepata mapokezi makubwa. Embu pitia account yake YouTube uone watu wasiojua Kiswahili wanavyoitikia nyimbo zake yaani kwa jinsi ulivyo na chuki na huyu bwana mdogo unaweza kupasua simu yako.
Hoja ya lugha haina mashiko linapokuja suala la music, leo hii wabongo asilimia kubwa hatuelewi kingereza, lakini nyimbo zilizoimbwa kingereza zinatubamba vibaya mno. Watu wanapenda nyimbo za kihindi, kikongo nk pasipo kuelewa neno hata moja.
Mayotte unajua ilipo? Kama hujui nyamaza, unajua lugha na asili ya lugha yao?ha haaa haaaa walishaturahisishia wenzetu waliosema wivu wa kike!
Mayotte alikoenda juzi kuna wanaijeria kule? zimbabwe je? mara ngapi anaenda kufanya show usa?
Eti anaelekea kufika mwisho! mtu anazidi kuchanja mbuga we unejificha na ka ID kako feki humu unamtabiria mwisho!
Mwenye uwezo wa kumshusha ni Mungu tu aliyemuweka juu
kwahiyo aogope kutupia video na picha kisa anakuogopa wewe au kwasababu wengine hawafanyi hivo?Mayotte unajua ilipo? Kama hujui nyamaza, unajua lugha na asili ya lugha yao?
Hata P square walipiga Africa Diamond hajaona ndani na bado hawajaitoboa Dunia. Na wanapotea sasa![]()
Zimbabwe sio dunia
Au unachanganywa na uswahili mwingi kila dakika ametupia clip?
Wanapiga show akina wiz kid, fally pupa, Davido kwenye page zao wanatupia vitu vichache. Huyu mtandale mwenzangu hata akiitwa kwenye birthday marekani anatupia clip yupo uwanja wa ndege wazee mnachanganyikiwa kuwa jamaa ana show nyingi international