Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Good

Mwenye link ya kunisaidia kuupata wa Diamond ft P square

google naona inazingua
 
Braza NEYO nakuomba nipo chini ya miguu yako kaka naomba unipost kaka nisaidie kaka
Cc: Iceman 3D
Si peko yako, wabongo wengi tuna pride za kijinga sana. Kama unataka mafanikio inabidi ujishushe tuu sometimes, hata kama ikibidi kubeba viatu vya bosi, why not..lol! Ina serious note, wabongo tuache pride siziso na tija kwenye mafanikio. Vitu vya kijinga tunashangilia kweli..sad!
 
Neyo hyu si wa sexy love na so sick.amefulia.ha trend tena huko.


Bro kama humjui Ne-Yo tulia. Unavyowaona wakina Rihanna Wako pale ujue watu kama Ne-Yo wanafanya kazi kubwa kuhakikisha Kila kitu kinakwenda sawa. Jamaa ni mdau wa muziki hasa, anawatolea ngoma mpaka wakina Celin Dion
 
Si peko yako, wabongo wengi tuna pride za kijinga sana. Kama unataka mafanikio inabidi ujishushe tuu sometimes, hata kama ikibidi kubeba viatu vya bosi, why not..lol! Ina serious note, wabongo tuache pride siziso na tija kwenye mafanikio. Vitu vya kijinga tunashangilia kweli..sad!
Sawa kabisa mkuu.
Ukiwa maskini jeuri utakosa mengi
Mtumikie kafiri upate ujira wako.
 
Alikiba angefanya collabo nyingi sema hapendi kujionyesha... Huyo janja janja kamnunua neyo ampost IG.
 
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.
watanzania mna matusi
 
Nimecho kishangaa baada ya neyo kopost hii kitu
Wabongo nao wamejaa kama kumbi kumbi na vijimatusi vyao!!!
Hivi mnapo tukana hovyo mtandaoni nini faida yake!!!
Jibu la mjinga ni matusi,kebehi na dharau! Achana nao
 
Bendela yangu Tanzania Peperuka zidi kupepea
 
Km hujui kiingilishi umejuaje kuwa wimbo unahusu kuoa na kuolewa. Acha kuwaza mashudu. Hata pumba usijaribu.
Sasa mkuu si unieleze maana yake badala ya mipasho, maana nshasema kuwa sielewi. Kwani kosa kutoelewa!?
 
Back
Top Bottom