Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Jamaa anajua sana kutumia fursa kila inapokatiza na anawasaidia vijana wenzie kutoboa
kama ile juzi alimpost rayvanny anafanya kazi na dj maphorisa

[HASHTAG]#Hard[/HASHTAG] work pays
 
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.
Kabisa hii ni aibu
 
"Hard work forever pays wandugu"

Nimeona diamond akiwa studio anatengeneza ile kazi ya Salome..yaani director yeye, mtunzi yeye, mpinga ngoma yeye, producer yeye n.k

Unaiona kabisa dhamira yake ya dhati ya kutaka kufanikiwa beyond expectations za watu....he is aggressive in a positive way.

Go Diamond sky is the limit....spread your wings and fly as high as you can.
Wewe kupiga ngoma,kuimba,kuingiza biti mwenyewe je issue ajira kwa wengine itawezekana?
 
Wakuwapa ajira wako wapi? Waswahili hawa wanaotaka mafanikio kwa siku moja? Bila kujua It takes courage, passion, endurance and strong determination kufanya kazi nzuri, ndo maana diamond anaona ni bora amenyeke mwenyewe tu kwenye multitask maana waswahili watakuhudhi na kutinyanga kazi.

Waswazi hatuna aggressiveness in a positivity way..tukiamini mambo ni pole pole na pia hakuna matata riziki mungu mwenyewe ataleta kesho.
 
Screenshot_2016-12-13-05-25-36.png
 
Huko i tunes sijawah kajaga... R 9.99. Ndo pesa ngapi kibongo..!??
 
Kuna mwingine kaona neyo kampost diamond akaanza kutukana tena kwa kiswahili ukute hajui hata goodmorning inasalimiwa muda gani,tubadilike nakuacha u team,
 
Kwa haraka cha kujiuliza ni Ne-yo ndio kusema kaupenda sana huu wimbo?

Kwa nini au promote? Jibu utakalojipa ndio sahihi kwako.

Uwezo wa diamond kuwa global ni mdogo sana. Aongeze umaarufu tu lkn kuwa msanii wa dunia kama akina Ne-Yo ni ndoto za mchana

Kwanza uwezi kutoka kama hauishi marekani, ni sawa na kutoka ukiwa mkoani bila kuja dar ni ngumu

Pili tujue kwasasa kufanya Collabo na wasanii wa nje ni easy tofauti na zamani, zamani kumuona Ne Yo haya kwenye stage za mziki nchi kama Tanzania ni ishu leo utandawazi na kutafta pesa msanii level za dunia kukipa shavu ukimlipa ni easy tu

Kama P-square bado hawajawa global ndo itakuwa Diamond?

Level zake mwisho nigeria na mha mwenzie Alikiba
 
Wabongo kwa kukatisha wenzao tamaa
 
Niko Ndola ,Zambia muda huu.Vijiwe vyote vya starehe na radio stations wanapiga nyimbo za Diamond,wakimfananisha na wanamuziki kama kina P-Square. Kweli Diamond ni maarufu!
 
Kwa haraka cha kujiuliza ni Ne-yo ndio kusema kaupenda sana huu wimbo?

Kwa nini au promote? Jibu utakalojipa ndio sahihi kwako.

Uwezo wa diamond kuwa global ni mdogo sana. Aongeze umaarufu tu lkn kuwa msanii wa dunia kama akina Ne-Yo ni ndoto za mchana

Kwanza uwezi kutoka kama hauishi marekani, ni sawa na kutoka ukiwa mkoani bila kuja dar ni ngumu

Pili tujue kwasasa kufanya Collabo na wasanii wa nje ni easy tofauti na zamani, zamani kumuona Ne Yo haya kwenye stage za mziki nchi kama Tanzania ni ishu leo utandawazi na kutafta pesa msanii level za dunia kukipa shavu ukimlipa ni easy tu

Kama P-square bado hawajawa global ndo itakuwa Diamond?

Level zake mwisho nigeria na mha mwenzie Alikiba
Mr.Ebbo r.i.p alikuwa anaishi Tanga na alikuwa anatoa hit songs, vipi kuhusu Shakira nae pia anaishi U.S.A?
 
Kwa haraka cha kujiuliza ni Ne-yo ndio kusema kaupenda sana huu wimbo?

Kwa nini au promote? Jibu utakalojipa ndio sahihi kwako.

Uwezo wa diamond kuwa global ni mdogo sana. Aongeze umaarufu tu lkn kuwa msanii wa dunia kama akina Ne-Yo ni ndoto za mchana

Kwanza uwezi kutoka kama hauishi marekani, ni sawa na kutoka ukiwa mkoani bila kuja dar ni ngumu

Pili tujue kwasasa kufanya Collabo na wasanii wa nje ni easy tofauti na zamani, zamani kumuona Ne Yo haya kwenye stage za mziki nchi kama Tanzania ni ishu leo utandawazi na kutafta pesa msanii level za dunia kukipa shavu ukimlipa ni easy tu

Kama P-square bado hawajawa global ndo itakuwa Diamond?

Level zake mwisho nigeria na mha mwenzie Alikiba
Aisee sasa kwanini isiwezekane kufika huko? Nani alijua wizkid atafika alipo leo?
Badala tumpe moyo mwenzetu yaani jitu linajitutumua kukatisha tamaa kama lenyewe ndio linagawa riziki vile!!
Tujifunze kuwapo moyo wote wanaojaribu kufanya vizuri
 
Mbona hujampongeza yule braza yako mwingine kwanza maana juzi karamba tupo tatu,
Au unapendelea?
Ukiamua kupongeza pongeza kaka zako wote kwa juhudi zao,
Au ndo kusema Huna taarifa na hizo tuzo?
Tatizo lao wamejaa ujinga sana
Mi nataka wawe wasanii wengi wenye mafanikio wao wanataka mtu mmoja tu ndio awe na mafanikio
 
Back
Top Bottom