Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
iTunes Link: Marry You (feat. Ne-Yo) - Single by Diamond Platnumz on Apple Music
*******.............................................................................*******
Nakumbuka kuna interview uliwahi kufanya ukasema utaratibu wako ni kwamba mtu ukifanya naye collabo naye anapaswa kuufanyia promo huo wimbo. Nadiriki kukupigia salute kwa hiki ninachokiona kwenye Instagram page ya Neyo.

Heshima kwako brother, haya ndiyo mapinduzi ya kimuziki tunayoyataka. Daaah, ama Mungu ni wa wote, leo Neyo anaupigia promo wimbo wa mtoto wa Tandale, ahsante Mungu. Ni 2009 tu Diamond ndio alianza kusikika, leo 2016 yupo level hizi, kweli kujituma ndio siri ya mafanikio.


tmp_17376-_20161212_165351-1135201603.JPG


 
Inakuja mijitu na roho mbaya
Eti ananunua sijui nini!!!?
Juhudi zamtu mnaziona
Kijana anajitutumua zaidi ndani na nje .
Mungu humpa anaye jituma
Hakika, mungu humpa anayejituma
 
Jamani mtawaua timu kupumuliwa na wale wa kibakuli kwa Presha maana juzi hawakulala aya Jana hawakulala na leo ndo ivyo tena hawawezi lala, labda kesho wanaeza funika kope la jicho kidogo
 
Mbona hujampongeza yule braza yako mwingine kwanza maana juzi karamba tupo tatu,
Au unapendelea?
Ukiamua kupongeza pongeza kaka zako wote kwa juhudi zao,
Au ndo kusema Huna taarifa na hizo tuzo?
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.
 
"Hard work forever pays wandugu"

Nimeona diamond akiwa studio anatengeneza ile kazi ya Salome..yaani director yeye, mtunzi yeye, mpinga ngoma yeye, producer yeye n.k

Unaiona kabisa dhamira yake ya dhati ya kutaka kufanikiwa beyond expectations za watu....he is aggressive in a positive way.

Go Diamond sky is the limit....spread your wings and fly as high as you can.
 
"Hard work forever pays wandugu"

Nimeona diamond akiwa studio anatengeneza ile kazi ya Salome..yaani director yeye, mtunzi yeye, mpinga ngoma yeye, producer yeye n.k

Diamond exposure imemsaidia sana na hili aliliona mapema ni la kuzingatia, kwani ndio mtu hupata fursa ya kuona na kujifunza vitu vipya vitakavyokufanya upate mafanikio kwa haraka kwenye kile unachofanya na hasa kwenye sanaa.

Hard work pays indeed, hayo yote itakuwa kajifunza kutoka kwa akina Chris brown
 
Back
Top Bottom