Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Kaka Diamond, heshima kwako brother!

Braza NEYO nakuomba nipo chini ya miguu yako kaka naomba unipost kaka nisaidie kaka
Cc: Iceman 3D
 
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.
Banggggg,...... the best reply everrr.....
 
Laiti kama Diamond angekuwepo kipindi cha one8 ya Airtel inafanyika basi ile nyimbo angeitwa yeye na leo hii MUSIC WETU UNGEKUWA NAMBA MOJA AFRICA.
You are right
 
hongerea kwake simba sio jampo jepesi msanii wa marekani kufanya collabo n mua africa b akam post kwny a.c yke
davido alifanya collabo n meek mill, meek mill hakupost hata uso wa davido matokeo yke nyimbo ikiishia kuchezwa africa tu n ela alitoa kubwa tu
 
Diamond ni noma atafika mbali Zaid ya hapo, hawa wengine watakaa xana ahahaaaaaaaaaaa....
 
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.
We jamaa unaakili sana
 
  • Thanks
Reactions: M12
Alikiba namkubali ila yuko slow sana kula fursa.
Management yake sijuii ndo imelala.

Big up diamond saivi ni level nyingine.
 
Nataman akina darasa, Bengal, jux, ramadee, alikiba, wangekuwa magenius kama diamond make wanaonekana kuwa slow learner sana
 
Back
Top Bottom