kaka chuse hujambo, salamu kutoka Wazua Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kaka chuse hujambo, salamu kutoka Wazua Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by mwafrika12, Mar 26, 2012.

 1. m

  mwafrika12 Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dear kaka chuse

  pokea salamu kutoka kwa members wa forum ya wazua huko 'ng'ambo' kenya. Ulitutembelea huko na mafujo siku moja ukatualika hapa jamii forum. Mimi nimejisajilisha ili tujadiliane na membas wa JF kuhusu maneno ya biashara, siasa, elimu na sana sana EAC.

  i look forward to having nice discussions with you
   
Loading...