uyu emasry boya kweli na kama wamelelewa kiislamu je...kojoa ukalale mchana unakaribia
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.
Dunia imekwisha, kaka na dada?
Sijui binadamu tunaelekea wapi?
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!
---- mamako elmasry usilete udini ---- wewe
peleka usenge uko topic iko mbali na udini unaanza uchochez au ---- weww
Uislam haufundishi hivyo wala usiusingizie.[/QUOTE
So unataka kumaanisha waislamu wanaopotoka na kufanya ulawiti, sio waislam? Kufundishwa na kuelewa ni vitu viwili tofauti. Hata ukristo haufundishi hivo FYI