mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Mi ningekuwa karibu ningewazaba vibao hao wazazi...Ni tukio linatokea sasa hivi hapa tabata mtaa wa amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21na mdogo wake ni 18....
Dunia imekwisha, kaka na dada??? sijui binadamu tunaelekea wapi???
AliyewafumaniaNani wa kulaumiwa?!
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?
umejuaje hawajalelewa kislamu?.unajua dini yao?.
nani wa kulaumiwa?!