Kajilengesha wala sijamtongoza Je nimgegede?

Kajilengesha wala sijamtongoza Je nimgegede?

Wasukuma kwa ushamba hamjambo.

kila kitu umetaja kwa hiyo hakuna siri tena na jina lako la kazi, umetaja. Kazi kwako sasa kuamua ufanye nn.
 
Eti, "Wakuu nigegede au nisigegede?"

QUOTE="Samboko, post: 26983994, member: 58682"]Wanaume wengine bwana.... Aarghh[/QUOTE]
 
Habri wana MMU ,
Mpaka sasa nashindwa kuelewa nini nifanye ndio maana nimekuja kwenu waheshimiwa mnishauri juu ya jambo hili.

Kazi yangu kwa sasa ni bodaboda na ninajulikana karibu ushirombo yote kama big

Kutokana na kazi yangu nina wateja wengi , mmoja wa wateja wangu ni huyu mmama ambae ana binamu yake ambae alikuwa anaishi shinyanga ila kwa sasa yupo humu ushirombo kwa muda tu,

Jana nikiwa zangu VATCAN nimepaki pikipiki yangu yule mmama akanipigia simu nimfuate nimpeleke wadutya club nikajua ni dili la pesa ile kufika nikamkuta yupo na binamu yake nikawapeleka ila SIKULIPWA nikamezea,

Na yule binti mgeni inshort kajenga sana mazoea na mimi wakati hata SIJAMTONGOZA nikampima kama ni mpenda pesa kwa kumlengesha kwa jamaa flani pedeshee akakataa na kusema ananitaka mimi tu na mimi nimeshaoa ila sijamwambia kama nina mke ila nina ashki ya kumgegeda tu halafu niachane nae ,

Ila kinachonipa mawazo ni kwamba haitaathiri kazi na kipato changu baada ya kumgegeda manake akili za wanawake wanazijua wao wenyewe,

NATAMATISHA NAWASILISHA
Acha zako big,saiv msimu wa mavuno twende zetu Lulembela mnadani tukapige hela achana na mapenzi.
Kesho asbh uje kwa mama salome stand nikupige supu safi ya kuku
 
Afu kuna huyu big anafanya kazi mabasi ya mombasa raha yuko wapi siku hizi?
 
Acha zako big,saiv msimu wa mavuno twende zetu Lulembela mnadani tukapige hela achana na mapenzi.
Kesho asbh uje kwa mama salome stand nikupige supu safi ya kuku
Mkuu mi nasubiri mpunga ushuke bei nihemee magunia ya kutosha .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom