Habri wana MMU ,
Mpaka sasa nashindwa kuelewa nini nifanye ndio maana nimekuja kwenu waheshimiwa mnishauri juu ya jambo hili.
Kazi yangu kwa sasa ni bodaboda na ninajulikana karibu ushirombo yote kama big
Kutokana na kazi yangu nina wateja wengi , mmoja wa wateja wangu ni huyu mmama ambae ana binamu yake ambae alikuwa anaishi shinyanga ila kwa sasa yupo humu ushirombo kwa muda tu,
Jana nikiwa zangu VATCAN nimepaki pikipiki yangu yule mmama akanipigia simu nimfuate nimpeleke wadutya club nikajua ni dili la pesa ile kufika nikamkuta yupo na binamu yake nikawapeleka ila SIKULIPWA nikamezea,
Na yule binti mgeni inshort kajenga sana mazoea na mimi wakati hata SIJAMTONGOZA nikampima kama ni mpenda pesa kwa kumlengesha kwa jamaa flani pedeshee akakataa na kusema ananitaka mimi tu na mimi nimeshaoa ila sijamwambia kama nina mke ila nina ashki ya kumgegeda tu halafu niachane nae ,
Ila kinachonipa mawazo ni kwamba haitaathiri kazi na kipato changu baada ya kumgegeda manake akili za wanawake wanazijua wao wenyewe,
NATAMATISHA NAWASILISHA