Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Mwambie asome number plate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwambie asome number plate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nakuheshimu sana jitahidi kwenda sambamba na mada.Hebu kabla hujafuata ushauri JF kwa mijitu ya hovyo ambayo hata huijui, unaonaje swala hili mkalijadili Na mkeo mbele ya wazazi wenu?
Shukrani sana mkuu ushauri bora na wa busara sana kuwahi kuupokea.Mkuu,jali kazi,mheshimu mkeo,maana ukifanya mchezo hilo jina maarufu la "Big" linaweza likawa kinyume chake!
Ndio mkuu , kwani vipi?Inasimama kweli wewe?
Tengua kauli mkuu wengine tuna heshima zetu.Hebu kabla hujafuata ushauri JF kwa mijitu ya hovyo ambayo hata huijui, unaonaje swala hili mkalijadili Na mkeo mbele ya wazazi wenu?
Mkuu tena wa ushiromboBila shaka wamkoani wewe
Una mpango wa kunioa lini my?Inasimama kweli wewe?
kwani wewe ni jitu la hovyo?Tengua kauli mkuu wengine tuna heshima zetu.
Aisee shukrani sana kaka kwa ushauri mzuri.Katika vyombo vya moto na mwanamke yupo sio boda boda yako tu kuwa makini
Umeomba ushauri, sivyo? Nikupe ushauri mwanana, kama hutoweza kusikiliza utakacho shauriwa na wazazi wako, utawezaje kuusikiliza ushauri wa wana JF usiowajua?Mkuu nakuheshimu sana jitahidi kwenda sambamba na mada.
Mkuu kumbuka mteja wangu hana shida na mimi ila binamu yake ndio mwiba.
Jina hili linatumika kote kote kwa Ke na MeHivi akina Dola kumbe huwa ni wanaume!?
mkuu unanitakia mema kweli?Kama kufa wote tutakufa hata ukifa kwa kusukumwa,,
BIG usijicheleweshe kuwala uroda
Shukrani sana boss nimekuelewa.Fanya kazi boss achana na uzinzi