Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni.
Sasa sababu za kibiashara kivipi wabongo kwa ushamba bwana nyie ndo mkiwa viongozi mnasema mtu asipige picha kwenye pantoni na Daraja la Kigamboni eti kwa sababu za kiusalama.
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako mpya View attachment 1978706View attachment 1978708
Sasa sababu za kibiashara kivipi wabongo kwa ushamba bwana nyie ndo mkiwa viongozi mnasema mtu asipige picha kwenye pantoni na Daraja la kigamboni eti kwa sababu za kiusalama.