Mwambie huyo mwanaume aishie hapohapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! asimletee mabalaa binti wa watu. tena mumuulize amaisha lala na mama yake????????????
Baba ni Baba !! hapo mjipange vizuri wanafamilia, kwani damu yake ipo nyumbani kwenu..... huyo in-law wenu mpigeni danadana (vuteni time) hadi aweze kujirekebisha kimaadili. Na kuhu sista aendelee na safari yae kwa mume wa ngambo hadi apotezee fikra la huyu baba mtoto.Ndio amezaa nae mtoto mmoja na alisema yeye mzaramu hawezi kua na mtoto mwenye singa kwahiyo mtoto sio wake.
Mtoto wake naishi nae mie na wala hatutaki aende kuishi na huyo mume mpya aende akale raha zake tafrani za kituko hiki basi.Baba ni Baba !! hapo mjipange vizuri wanafamilia, kwani damu yake ipo nyumbani kwenu..... huyo in-law wenu mpigeni danadana (vuteni time) hadi aweze kujirekebisha kimaadili. Na kuhu sista aendelee na safari yae kwa mume wa ngambo hadi apotezee fikra la huyu baba mtoto.
mwengine ........
MMhh !! Sasa Ukhtii hasira za nini, hebu tuliza hamaki zako!! huwezi tatua tafrani ktk hali ya ukali na jazb.... sikiliza haya "kheri na baraka kwa kumlea mtoto wa shemu wako, Lakini still huyo ni babake" (we hujui kesho tu kibao kitageuzwa juu yako, watoto hawa wakishakuwa hubadilika) !! sindo nkasema buy time/mchukulieni kisiasa na baadae atajua hapa hakuna tena mke !! Laa sivyo atakuwa gundi nakuganda hapo kibarazani kwenu!!Mtoto wake naishi nae mie na wala hatutaki aende kuishi na huyo mume mpya aende akale raha zake tafrani za kituko hiki basi.
Nipe shavu nikupe BONGE LA KISS!! nilikua wa kwanza kuuliza hilo swali kua bwana wewe ushalala na mzazi wako au ndio unafanya matayarisho kwanza? Dad akanitimua kwenye kikao...
Yaani msikubali kumfanya mdogo wenu kurudi kwenye matatizo, akafie hukoooo
Mi sipendi sana tabia ya mtu hata kama mmeshindwana kutoa kauli kali na zenye kuumiza kama vile hakuna kesho. hakuna mwanaume hapo ni ujinga mtupu huo.
yani asara tupu,halafu ukiangalia mpaka nyumba anayoishi ilikua ya Dad,yeye alikua mwanamme jina sasa kuficha aibu na tumeona mdogo wetu amepata rizki tukubali khaa! sikatuona tuna shida na yeye gari kapewa na dad mtaji kaka zetu na sie tumechanga
baada ya yote hayo anasema uchafu nilikua naumia roho yangu mungu ndio anajua
lakini sasa roho kwatuuuuuuuuuuuuu...
mlikuwa hyamna bunduki hapo home?ungemuwasha ila na sawli kwaniwe mwanamke au mwanaume inaonekana kama mtoto wa mama hivi?kajitegemee bwana na weweeeeee...........!!!!!!!
apewa nkewe........
Hebu Mswalie kwanza, na unywe maji glass 2 !! mmmh naona leo unachanganya kwa hasira!!Yaani msikubali kumfanya mdogo wenu kurudi kwenye matatizo, akafie hukoooo
Mi sipendi sana tabia ya mtu hata kama mmeshindwana kutoa kauli kali na zenye kuumiza kama vile hakuna kesho. hakuna mwanaume hapo ni ujinga mtupu huo.
yani asara tupu,halafu ukiangalia mpaka nyumba anayoishi ilikua ya Dad,yeye alikua mwanamme jina sasa kuficha aibu na tumeona mdogo wetu amepata rizki tukubali khaa! sikatuona tuna shida na yeye gari kapewa na dad mtaji kaka zetu na sie tumechanga
baada ya yote hayo anasema uchafu nilikua naumia roho yangu mungu ndio anajua
lakini sasa roho kwatuuuuuuuuuuuuu...
mwambieni akamlale kwanza mama yake!si aliapa akimrudia hatomrudia mkewe labda amlale mama yake!wanaropokaga tuu maneno makali kumbe hawajui huwa wanajilaani wenyewe!
Hebu Mswalie kwanza, na unywe maji glass 2 !! mmmh naona leo unachanganya kwa hasira!!
Ametutukana yani huyu mtu, baada yakumpa maisha anaseme nimewaoa nyote nantaaza kulala na mmoja mmoja
najua mmeolewa lakini hao waumezenu ni madada wote kwangu,sasa leo hii kajaomba samahani eti karogwa,nikamwambia
na alokuroga wala hayupo nyumba hii sema zimekisha sasa unakumbuka shuka kusha kucha..
Huyu hana aibu wala adabu,mzazi wake alipo mwambia unamuacha mke na adabu zake unakwenda kuoa huyo,alimwambia babake kama unamtaka lalanae wewe. sasa huyo anakua mume au maradhi? hata kama angekua amezaa nae watoto 100 basi nungemwambia usirudi, mwanzo alisema huyu mtoto mwalabu sio wangu atakua mtoto wa baalesa,niliacha uchungu nikacheka,sasaivi anasema anamtaka mwanawe mie nadhani huyu anawazimu....Siku zote ukiwa na aibu huwezi kuomba samahani, samahani huombwa na wasio na aibu
Poleni....,Ametutukana yani huyu mtu, baada yakumpa maisha anaseme nimewaoa nyote nantaaza kulala na mmoja mmoja
najua mmeolewa lakini hao waumezenu ni madada wote kwangu,sasa leo hii kajaomba samahani eti karogwa,nikamwambia
na alokuroga wala hayupo nyumba hii sema zimekisha sasa unakumbuka shuka kusha kucha..
Sasa nyie hamujui kmsomea AhL-Bader ? ( ile origno kbs ) !!