john achila mukumwa
Senior Member
- Jan 4, 2024
- 133
- 270
Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?
Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16).
Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana.
Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto?
Ukisoma kitabu cha Mwanzo 5:1-5, utaona:
“1Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, AKAZAA WANA, WAUME NA WAKE
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.”
Kwenye mstari huo wa 4, utaona kuwa kumbe mbali ya Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko, Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu.
Swali linakuja kuwa, kama KAINI alitwaa mke ambaye alizaliwa na Adamu na Hawa, ambao ni wazazi wake, hiyo ina maana kuwa alimuoa dada yake. Je, ni halali kumuoa mwanamke ambaye ni dada yangu wa damu?
Kumbuka kuwa hata Adamu mwenyewe hakwenda kumtwaa mke kutoka kwenye familia nyingine, bali kutoka katika ubavu wake mwenyewe. Hivyo, kama ni undugu, basi Adamu na Hawa wana undugu mkubwa zaidi ya dada na kaka.
Kumbuka pia kuwa hata Ibrahim alioa dada yake wa baba mmoja, yaani mtoto wa mama mwingine kwa baba yake (Mwanzo 20:12). Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu iwe hivyo mwanzoni, kwa ajili ya uzazi, ili watu waongezeke.
Lakini baadaye Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hebu thibitisha hilo kupitia kitabu cha Mambo ya Walawi 18:
6 “Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana”.
Na pia mstari wa 9 unasema:
9″ Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue”.
Kwa hiyo, mbali na Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu. Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu hiyo hali, ili watu waongezeke.
Baadaye, Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hivyo, kwa sasa, ni machukizo kuoa ndugu yako ye yote yule wa karibu.
Kaini alimpata wapi mke?Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?

Nchi ya Nodi: Kulingana na Mwanzo 4:16-17, baada ya Kaini kufukuzwa kwa mauaji ya ndugu yake Abeli, alisafiri mashariki mwa Edeni hadi Nchi ya Nodi, ambapo alimchukua mke wake na kuanzisha familia yake.
na akina Sethi na watoto wake. na watoto wa dada zake (walikuwa weeengi tu) ni vile tu hawakutajwa. Biblia hutaja wale tu ambao hubeba ujumbe mahususi kwetu sisi.Kaini alivyokuwa anatoka Eden. Alisema anaogopa kuuliwa.
je alikuwa anaogopa kuuliwa na kina nani?
Kaini ni wa kwanza kuzaliwa. Na Seth alizaliwa baada ya kuuliwa kwa Abel.na akina Sethi na watoto wake. na watoto wa dada zake (walikuwa weeengi tu) ni vile tu hawakutajwa. Biblia hutaja wale tu ambao hubeba ujumbe mahususi kwetu sisi.
yaliyofunuliwa ni ya kwetu, yasiyofunuliwa ni ya Bwana. KUMB 29:29
Okay sawa.mambo ya pale bustanini yalichukua miaka mingi sana. sio soon kama unavyosema
Sio kila kitu kiliandikwa. Hakuna ambapo imeandikwa kuwa Kaini hakuwa na mke na watoto kabla hajaenda Nodi. Pia hakuna ilipoandikwa kuwa baada ya kwenda Nodi aliendelea kubaki mpweke hadi kifo.Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?
Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16).
Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana.
Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto?
Ukisoma kitabu cha Mwanzo 5:1-5, utaona:
“1Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, AKAZAA WANA, WAUME NA WAKE
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.”
Kwenye mstari huo wa 4, utaona kuwa kumbe mbali ya Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko, Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu.
Swali linakuja kuwa, kama KAINI alitwaa mke ambaye alizaliwa na Adamu na Hawa, ambao ni wazazi wake, hiyo ina maana kuwa alimuoa dada yake. Je, ni halali kumuoa mwanamke ambaye ni dada yangu wa damu?
Kumbuka kuwa hata Adamu mwenyewe hakwenda kumtwaa mke kutoka kwenye familia nyingine, bali kutoka katika ubavu wake mwenyewe. Hivyo, kama ni undugu, basi Adamu na Hawa wana undugu mkubwa zaidi ya dada na kaka.
Kumbuka pia kuwa hata Ibrahim alioa dada yake wa baba mmoja, yaani mtoto wa mama mwingine kwa baba yake (Mwanzo 20:12). Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu iwe hivyo mwanzoni, kwa ajili ya uzazi, ili watu waongezeke.
Lakini baadaye Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hebu thibitisha hilo kupitia kitabu cha Mambo ya Walawi 18:
6 “Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana”.
Na pia mstari wa 9 unasema:
9″ Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue”.
Kwa hiyo, mbali na Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu. Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu hiyo hali, ili watu waongezeke.
Baadaye, Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hivyo, kwa sasa, ni machukizo kuoa ndugu yako ye yote yule wa karibu.
Ngoja waje wakueleze nata mimi huwaga najiuliza hivyo ikiwa damu na hawa watoto tao ndo hao kaili na abel je wanawake walipata wap?
Ina maana kulikuwa na watu wengne?. Nje ya Eden?.Adam na hawa walikuwa wawakilishi wa hao wengine, n sawa na kwenye nchi muwakilishi wa wananchi ni rais
Aliitwa AWAN pacha wake Kaini na ndio chanzo kingine cha mauaji kati yake KAINI dhidi ya ABEL kwani Kaini aliona wivu kwanini ABEL amuoe AWAN huku Abel alikuwa na pacha wake?Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?
Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16).
Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana.
Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto?
Ukisoma kitabu cha Mwanzo 5:1-5, utaona:
“1Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, AKAZAA WANA, WAUME NA WAKE
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.”
Kwenye mstari huo wa 4, utaona kuwa kumbe mbali ya Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko, Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu.
Swali linakuja kuwa, kama KAINI alitwaa mke ambaye alizaliwa na Adamu na Hawa, ambao ni wazazi wake, hiyo ina maana kuwa alimuoa dada yake. Je, ni halali kumuoa mwanamke ambaye ni dada yangu wa damu?
Kumbuka kuwa hata Adamu mwenyewe hakwenda kumtwaa mke kutoka kwenye familia nyingine, bali kutoka katika ubavu wake mwenyewe. Hivyo, kama ni undugu, basi Adamu na Hawa wana undugu mkubwa zaidi ya dada na kaka.
Kumbuka pia kuwa hata Ibrahim alioa dada yake wa baba mmoja, yaani mtoto wa mama mwingine kwa baba yake (Mwanzo 20:12). Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu iwe hivyo mwanzoni, kwa ajili ya uzazi, ili watu waongezeke.
Lakini baadaye Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hebu thibitisha hilo kupitia kitabu cha Mambo ya Walawi 18:
6 “Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana”.
Na pia mstari wa 9 unasema:
9″ Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue”.
Kwa hiyo, mbali na Kaini na Abeli kuzaliwa na Adamu, kulikuwa na wana wengine wa kike na wa kiume waliokuja kuzaliwa kwenye familia yao. Ndiyo huko huko Kaini alipojitwalia mke, yaani kutoka ndani ya familia hiyo hiyo ya Adamu. Kwa wakati huo, Mungu aliruhusu hiyo hali, ili watu waongezeke.
Baadaye, Mungu alitoa maagizo kuwa ni makosa mtu kutwaa ndugu wake wa karibu na kumfanya kuwa mke wake.
Hivyo, kwa sasa, ni machukizo kuoa ndugu yako ye yote yule wa karibu.
sara na adela wa samson walielezwa sababu ya ushawishi wao mkubwa kwa watu wa M-ngu kifupi walikuwa na madhara kwa watu wa M-nguUkiwauli za walokole hilo swali wanakuambia kuwa kauni alikuwa na dada zake (alioa dada yake).
Ukiwauli za kwa nini hao dada zake hawakuelezwa kwenye bibilia watakuambia kipindi kile wanawake hawakuhesabiwa kama sasa.
Lakini ukiwaambia kwa yule Sara mke wa Ibrahim na Adela wa Samsoni walielezwa? Wanatoka nduki.
Nyambafu!
mbona kama vile naanza kuwaza ujinga???Okay sawa.
Unataka kuniambia baada ya Abel kuuliwa . Ilichukua Miaka Ming mpaka Kain alivyofukuzwa na kwenda Nodi?.
Haya.
Sasa nenda Mwanzo 6. Kuanzia Mstar 1.
Hao watoto wa Kiume wa Mungu ni wakina nani?. Ambao walizaa na Wanawake wa Kibinadamu?.
hao wana wa Mungu wa Kiume, walikuwa wanaishi duniani?