Kaingia bar na kisu

Kaingia bar na kisu

Wadau,

Nimetoka kula lunch hapa bar ya C2C IRINGA Kihesa, ila kuna kijana hapa nimemkuta kaagiza bia anacheza mziki huku kachomeka kisu kikali kwenye gram boot zake.

Kiusalama hii imekaaje?Na anazidi kunywa bia

Gram boot?- gumboot?
 
Kimbia sana huwezi kujua labda keshalivuta libangi

Jamani kwanini mnajua sana kuisingizia bange? Mbona watu tunavuta na tupo smart kiakili na kimwili!! Ingekuwa kila ujinga ni bange nchi nzima ya Jamaica wangekuwa waajabu, tupende zao lenye kutuliza akili, binafsi kipindi kama hiki cha uchaguzi najilia bangwe nibwangue maana maisha hayaeleweki achilia siasa, dollar inapaa na petrol inapaa, kutoka na gari yenye cc 990 vitz passo inaelekea kunishinda, na nikiwa home ukifungilia tv radio ni siasa comedy tv, yaaani ni kama mwili vile unawasha wapi uanze kuukuna ndio utajikuta mtu mzima unaogelea katika mchanga, watu wakaona umevuta bangwe kumbe yote ni maisha, maana usishangae umekaa sebreni kwako ukashangaa panya kamkimbiza paka, na unafikiri inakuwaje kwa mfano? Mkeo na watoto wapo jikoni, upo unaangalia tv mara paka anakuja speed uku analia kuomba msaada tena anakuja ulipo kaa? Si utashtuka? Na je ukishtuka maana yake nini? Utawashtua mke na watoto, na ukiwashtua wakija kujua nini kilichojiri? Watujua unavuta bangwe tuu, lakini kama ungekuwa umekula bangwe kwanza unge pata ganzi na wala usingeshtuka zaidi utafikiria sana nini kimetokea? na ukajua na ukatumia kama chachu ya kuilinda familia yako akiwemo yule paka. Sorry hadithi yenye ganzi.
 
Kizazi jeuri kweli we umelikoka bange likakolea haswa! Unaisifu hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Nimetoka kula lunch hapa bar ya C2C IRINGA Kihesa, ila kuna kijana hapa nimemkuta kaagiza bia anacheza mziki huku kachomeka kisu kikali kwenye gram boot zake.

Kiusalama hii imekaaje?Na anazidi kunywa bia
Mwambie mwenye bar ili achukue tahadhari.
 
Jamani kwanini mnajua sana kuisingizia bange? Mbona watu tunavuta na tupo smart kiakili na kimwili!! Ingekuwa kila ujinga ni bange nchi nzima ya Jamaica wangekuwa waajabu, tupende zao lenye kutuliza akili, binafsi kipindi kama hiki cha uchaguzi najilia bangwe nibwangue maana maisha hayaeleweki achilia siasa, dollar inapaa na petrol inapaa, kutoka na gari yenye cc 990 vitz passo inaelekea kunishinda, na nikiwa home ukifungilia tv radio ni siasa comedy tv, yaaani ni kama mwili vile unawasha wapi uanze kuukuna ndio utajikuta mtu mzima unaogelea katika mchanga, watu wakaona umevuta bangwe kumbe yote ni maisha, maana usishangae umekaa sebreni kwako ukashangaa panya kamkimbiza paka, na unafikiri inakuwaje kwa mfano? Mkeo na watoto wapo jikoni, upo unaangalia tv mara paka anakuja speed uku analia kuomba msaada tena anakuja ulipo kaa? Si utashtuka? Na je ukishtuka maana yake nini? Utawashtua mke na watoto, na ukiwashtua wakija kujua nini kilichojiri? Watujua unavuta bangwe tuu, lakini kama ungekuwa umekula bangwe kwanza unge pata ganzi na wala usingeshtuka zaidi utafikiria sana nini kimetokea? na ukajua na ukatumia kama chachu ya kuilinda familia yako akiwemo yule paka. Sorry hadithi yenye ganzi.

hivi nyie Kizazi jeuri kwa nini mnaua watu
 
heee!!!!!! hata sijaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom