Kainerugamba Msemakweli - Ni nani huyu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kainerugamba Msemakweli - Ni nani huyu?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ustaadh, Feb 8, 2010.

 1. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanaharakati anaitwa Kainerugamba Msemakweli.....mwenye wasifu wake atuwekee hapa jamvini.....  [​IMG]
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Itakuwa vizuri tumjue huyu mzalendo wa kweli,ambaye anataka kurudisha heshima ya mtu aliyechukua Phd.TCU ni mediocre wameshindwa kabisa kutoa leadership kabisa kwenye swali hili,kwa sababu ni appointees wa Rais,hivyo hawawezi kuchukua hatua kwa waziri mwenye Phd fake,ambaye ni kipenzi cha rahisi
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,559
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  We are in a leadership crisis at all levels. Sitegemei kuona leadership kwenye system hii ya kulazimisha kusema Yes bwana mkubwa ili kesho usisahaurike wanapogawa madaraka. Hatuna leaders...tuna wapenda madaraka tu!
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni kijana mdogo tu mwanaharakati.Amesomea sheria,ni mpinga ufisadi nchini..
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...