Kwani Kenya umetenguliwa wa Ubunge? Je Sheria inaruhusu kufungua hiyo kesi kama ya Kenya kwa Urais hata kama una vielelezo? Ulikua umezaliwa wakat Amaan Karume alivyoharakishwa kuapishwa? Hata Kenya ilitokea kwa Kibaki ndio wakastuka hii Sheria inayoruhusu kuapishwa haraka then Huna mamlaka ya kuhoji sio nzuri! Kwa aina ya Watanzania kama wewe tutaendelea kushangilia wenzetu na kupenda watu au vyama kuliko nchiOdinga alijipanga vizuri,
Kukusanya formu za matokeo na kuwa na evidence documents siyo kazi ndogo.
Watanzania tatizo siyo tume,
Wasimamizi wengi wa uchaguzi vituoni,huwa hawako serious na mambo ya msingi ya nayo weza kuthibitika.
Nafikiri tukubari kiwango chetu cha Elimu ni tatizo la msingi.
Mahakama haiwezi kukataa ushahidi ulioshiba na vielelezo........
Acheni kuwasema sana majaji wetu kwani bado hatujawajaribu na kesi zenye vielelezo......
Mbona ubunge wanatengua?
Ukipata kufanya kazi kwa zaidi ya mwaka bila kuajiriwa,na huoneshi kudai haki yako ya kuajiriwa wewe ni BOGUSPole sana Prof. Ibrahim Juma kwa kukubali Mahakama yako ichezewe chezewe ...hivi ukikaa na Jaji Maranga wa Kenya unajisikiaje? Hivi kweli wajisikia na wewe ni Jaji Mkuu? Pole sana kwa kukubali kuchezewa, kwa kukubali kuwa mwanasesere, kwa kukubali kuwa mshangiliaji..
Najua huwezi kutenda haki kwa kesi za Magufuli dhidi ya raia wengine wanyonge wanaoonewa na Ma-DC, ma-RC wakiongozwa na boss wao...basi ungechukua tu hata hatua ya kujiuzulu usikubali kugeuzwa mwanasesere shehe...i mean profesa!
Pole sana, Ni uhuru na haki yako kumshangilia Odinga, lakini baada ya hapo, watakiwa kuangalia maswala ya msingi zaidi.Chagademus mmeshabadili gia kama kawaida yenu, mwanzo mlimpongeza Uhuru kwa ushindi na kipenzi chenu EL alijipeleka kushiriki kampeni. Pili mlimuita Uhuru ni Baba Wa DOMOKRASIA lakini leo mahakama imemuona ni MWIZIKRASIA. Sasa baada ya kuona mmeumbuka ndani ya muda mfupi mmeanza kusifia na kupongeza Mahakimu lakini wakati Aliyefungua kesi Raila Odinga mnamruka kama kinyesi sababu tu ni swahiba wa kitambo na JPM ambaye mnakesha kumpinga hadhari wakati ndani ya Mioyoni yenu mnamkubali. Hahaahaahaaa
Kwani unafikiri wanalielewa hilo? Na ndio maana akili zao zimezamia ccm na sio Tanzania.
Kesi zenye kuhusu mambo ya siasa moja kwa moja huwa haziamuliwi kwa faida ya watanzania hata siku moja. Nakumbuka wakati fulani Mtikila alikuwa anapinga uchaguzi wa Ludewa kufanyika hukumu ilitolewa Ijumaa jioni na uchaguzi unafanyika Jumapili. Unapotoa hukumu kama hiyo lengo lako ni nini hasa?
Kesi ya Mtikila ya Mgombea binafsi unakumbuka maamuzi yalikuwaje? Kesi ya kenya inahusu masuala ya katiba na mahakama yetu kwenye mambo yanayohusu Katiba ni dhaifu sana kiasi kwamba si ya kutegemewa hata siku moja.
Uhalisia gani unaoutaka, huoni kageuzwa mwanasesere? Jaji gani anaelekezwa cha kufanya na muhimili mwingine? Mpaka anaagizwa kuhamisha mahakimu bado amekaa kwenye kiti hicho anasubiri nini?
Alimpongeza sababu ni Rais mwenzake na wapo Jumuiya ya Africa Mashariki ni lazima watashirikia kwa ajili ya hiyo jumuiya.Sina chama ila sipendi uongo ukishamiri.
Jei-piem hakumpongeza UHURU? Naye unalisemea vipi?
Wakati mwingine msinywe gongo na sambusa, havisaidii!
Kesi alifungua Uhuru? Au naye aliridhika na mazaifu yaliyojitokeza au alijisahaulisha matatizo?Mahakama imesema uchaguzi haukuwa huru na haki sio Uhuru aliiba kura na madhaifu mengi yameonekana kwa tume ya uchaguzi na sio kwa mgombea Uhuru .Mimi nadhani ifikie pahala muwe mnajitahidi kuelewa msiendeshwe kwa mihemuko ya kisisiemu.Kenya wamebatilisha uchaguzi ila Zanzibar mlifuta uchaguzi ona mlivyo na laana enyi chama cha makinikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nae ni kada anakaratasi ya kijani hom kwakePole sana Prof. Ibrahim Juma kwa kukubali Mahakama yako ichezewe chezewe ...hivi ukikaa na Jaji Maranga wa Kenya unajisikiaje? Hivi kweli wajisikia na wewe ni Jaji Mkuu? Pole sana kwa kukubali kuchezewa, kwa kukubali kuwa mwanasesere, kwa kukubali kuwa mshangiliaji..
Najua huwezi kutenda haki kwa kesi za Magufuli dhidi ya raia wengine wanyonge wanaoonewa na Ma-DC, ma-RC wakiongozwa na boss wao...basi ungechukua tu hata hatua ya kujiuzulu usikubali kugeuzwa mwanasesere shehe...i mean profesa!
Sasa katiba inasema hakuna kuhoji matokeo ya kura za urais, sasa uakusanya evidence zanini?Odinga alijipanga vizuri,
Kukusanya formu za matokeo na kuwa na evidence documents siyo kazi ndogo.
Watanzania tatizo siyo tume,
Wasimamizi wengi wa uchaguzi vituoni,huwa hawako serious na mambo ya msingi ya nayo weza kuthibitika.
Nafikiri tukubari kiwango chetu cha Elimu ni tatizo la msingi.
Mahakama haiwezi kukataa ushahidi ulioshiba na vielelezo........
Acheni kuwasema sana majaji wetu kwani bado hatujawajaribu na kesi zenye vielelezo......
Mbona ubunge wanatengua?
Kama Lissu alivyo mdoli wa EL.Jaji mkuu wa danganyika kawekwa kama mdoli.
Huo uwezo hana mana anamtiii aliempa kazi,ndio mana umeona dharau za tanroad huko kimara kudharau mahakama ....awamu hii sizonje ndio kila kituUkada wake unatakiwa kubaki ktk Familia yake Mluu ,anatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa utaratibu na kanuni zilizopo..Asichanganye mambo ya Nchi na Chama ...