Kahawa: Tanzania maarufu tena Duniani

Kahawa: Tanzania maarufu tena Duniani

Pamoja na serikali mbovu hivi ila tunang'aa kimataifa.

Big up juhudi binafsi
 
Angalieni vizuri. Sawa inatoka Tanzania lakini mkumbuke inatoka Odeani Estate. Ni kahama iliyolimwa Tanzania na wazungu. Haimsaidii Massawe wa Moshi, Mwakipselie wa Mbeya wala Muganyizi wa Kagera.
 
hii habari wasira akiipata tu ataifanya kiki ya urais wake, nimekuwa waziri wa kilimo miezi miwili tu, kahawa ya Tanzania imekuwa bora kuliko zote duniani, loh, aliwahi kutoa speech angesubiri kidogo hii nayo ingekuwa agenda.
 
Kahawa ya Tanzania imeuliwa na wivu wa kike wa Benjamin Mkapa kwa Wachagga aliona kama Wachagga wataitawala nchi akaondoa ruzuku kwa wakulima na
Bei ikashushwa masoko yakatoweka.
 
Pamoja na serikali mbovu hivi ila tunang'aa kimataifa.

Big up juhudi binafsi
Watanzania mnashangilia jambo lisilokuwa na uhalisia Tanzania kushika number moja sio kama inalimwa na Watanzania totally.

Hiyo ni nembo tu kiwanda chochote kinaweza weka ili kupata wateja sababu ya reputation nzuri ya Kahawa ya Tanzania kama unataka kujua kama uhalisia wa hii promotion ipo kawatathmin wakulima wa Kahawa vijijini.
 
Jamani namie nirudi sijui Tarime hasahasa kule Matongo na Nyamwaga nikalime kahawa.
Mana babu yangu alikuwa na shamba kubwa alilonunulia ng'ombe nyingi sana akawaozesha wanawe na aliniachia sema nimelitema.

Miaka ya 90 mwanzoni nakumbuka soko la kahawa likikuwa juu sana na Mara coffee imeshakufa zamani.
 
waltham.

You will remember I've shown you QUALITY coffee in one of Kenya's rooms the other day.

Kahawa ya Kenya ina bei kama hii?

View attachment 258331

Hacienda La Esmeralda coffee looks fairly crowded, with this bean having been awarded first place at various worldwide cuppings thirteen times since 2004.

The most recent record that this coffee set? A whopping $350.25 per POUND (453 g) at the 2013 Best of Panama Auction – Naturals Category.

Grown in the shade of guava trees on the slopes of Mount Barú in Panama, this bean is highly sought after and only cultivated in small quantities. It is a rarity and delicacy in the coffee world, and a once in a lifetime must for any coffee connoisseur.

told you I cant waste my time na wewe when reports from the leading organizations say otherwise!!!

[h=1]Ethiopia and Kenya Coffees Dominate 2015 Good Food Awards List[/h]January 9, 2015 12:02 pm
The 5th Annual Good Food Awards Ceremony took place last night in San Francisco, honoring coffee roasters alongside craft producers in categories such as beer, cheese, spirits, oils and preserves. Sixteen winning single-origin coffees from 16 U.S. roasteries were deemed award-worthy out of a pool of 24 finalists. All but two coffees, both from Panama, came from either Ethiopia or Kenya.
The awards program has become one of the most influential in the coffee world, giving winners a chance to market the GFA seal and trumpet their coffees as the best of the best, both in terms of cup quality and sustainable and responsible practices. As its influence has grown and the growing program has gotten more competitive, so too has it taken some criticisms. (See our companion piece with GFA coffee awards committee chair Jen Apodaca to discuss how the program operates and what changes we might see moving forward.)
 
waltham

Kampuni inaweza kufanya survey na kuonyesha kahawa ya nchi fulani inapendwa.

Mwisho wa siku ni Fedha. Je, Kenya inazalisha kuliko Uganda na Tanzania?

Pesa haipo kwenye migahawa bali katika makampuni ya kimataifa kama nestle.

Pia, Kama umesafiri utajua kuwa makampuni wanachanganya kahawa ya nchi tofauti katika paketi. Itasema " arabica coffee from Brazil and Ethiopia" kwa mfano.

Ndiyo maana wenzenu kama Brazil, huwezi kushindana naye. Hata wapende vipi kikombe cha kahawa cha Kenya katika migahawa ya Starbucks na sehemu nyingine.

Naomba unionyeshe sehemu nimesema Tanzania ni number one katika uzalishaji. Pia, nionyeshe uzalishaji wenu duniani. Hata top 10 hampo ila mnapenda sifa za kijinga,
Tanzania inazalisha kuliko Kenya na Uganda yupo mbele kabisa.
Mimi natowa huu ushahidi, katika uzalishaji duniani, hampo.

Aug. 19 (Bloomberg) -- The following is a table of the world’s 10 largest coffee-producing nations, measured in thousands of bags, for the 2010-2011 crop year. One bag weighs 60 kilograms (132 pounds).
Data are from the U.S. Department of Agriculture.

World's top 10 coffee producers:

1) Brazil 54,500
2) Vietnam 18,725
3) Colombia 9,500
4) Indonesia 9,325
5) India 5,100
6) Ethiopia 4,400
7) Honduras 4,000
8) Peru 4,000
9) Guatemala 3,910
10) Mexico 3,700

ARABICA BEANS:
1) Brazil 41,800
2) Colombia 9,500
3) Ethiopia 4,400
4) Honduras 4,000
5) Peru 4,000
6) Guatemala 3,900
7) Mexico 3,500
8) Nicaragua 2,000
9) El Salvador 1,700
10) Costa Rica 1,575

ROBUSTA BEANS
1) Vietnam 18,150
2) Brazil 12,700
3) Indonesia 7,950
4) India 3,600
5) Cote d’Ivoire 2,100
6) Uganda 1,900
7) Malaysia 1,000
8) Thailand 900
9) Cameroon 525
10) Togo 525

Kenya iko wapi hapo?

source: Bloomberg.com

Coffee exporters 2014

Country60 kilogram bags

Brazil 45,342,000
Vietnam 27,500,000
Colombia 11,600,000
Indonesia 6,850,000
Ethiopia 6,500,000
India 5,005,000
Mexico 4,500,000
Guatemala 4,000,000
Peru 3,500,000
Honduras 2,700,000
UGANDA. 2,500,000
Ivory Coast 2,350,000
Costa Rica 1,808,000
El Salvador 1,374,000
Nicaragua 1,300,000
Papua New Guinea1,125,000
Ecuador 1,000,000
Thailand 1,000,000
TANZANIA. 917,000
Dominican Republic900,000
KENYA. 850,000
Venezuela 850,000
Cameroon 750,000

Usipende ubishi bila ya kujipanga vizuri. Utaumbuka.

source: en.m.wikipedia.org

mbona kizungu kwako ni janga kuelewa. do you know what quality means!!! nani akasema kenya is the leading producer wa coffee!!

[h=1]Ethiopia and Kenya Coffees Dominate 2015 Good Food Awards List[/h]January 9, 2015 12:02 pm
The 5th Annual Good Food Awards Ceremony took place last night in San Francisco, honoring coffee roasters alongside craft producers in categories such as beer, cheese, spirits, oils and preserves. Sixteen winning single-origin coffees from 16 U.S. roasteries were deemed award-worthy out of a pool of 24 finalists. All but two coffees, both from Panama, came from either Ethiopia or Kenya.
The awards program has become one of the most influential in the coffee world, giving winners a chance to market the GFA seal and trumpet their coffees as the best of the best, both in terms of cup quality and sustainable and responsible practices. As its influence has grown and the growing program has gotten more competitive, so too has it taken some criticisms. (See our companion piece with GFA coffee awards committee chair Jen Apodaca to discuss how the program operates and what changes we might see moving forward.)
 
waltham ni kweli hizo coffee ulizotaja hapo ni maarufu, lakini usisahau hawa judges wako influenced sana na lobbyist na business strategists tena wanakula commissions kubwa sana because they are used as marketing tools

kila kitu kwenu tanzania isiposemwa favorably upande wenu mnatoa vijisababu kama millioni moja why they are not credible!!!!

sisemi ni mashindano lakini mswahili kusema asiyekubali kushindwa sie mshindani aliyelewa hili!! wakati mwingine kubali yaishe, pick the good lessons nenda kajiboreshe nawe next time utokee juu!!
 
waltham

Kampuni inaweza kufanya survey na kuonyesha kahawa ya nchi fulani inapendwa.

Mwisho wa siku ni Fedha. Je, Kenya inazalisha kuliko Uganda na Tanzania?

Pesa haipo kwenye migahawa bali katika makampuni ya kimataifa kama nestle.

Pia, Kama umesafiri utajua kuwa makampuni wanachanganya kahawa ya nchi tofauti katika paketi. Itasema " arabica coffee from Brazil and Ethiopia" kwa mfano.

Ndiyo maana wenzenu kama Brazil, huwezi kushindana naye. Hata wapende vipi kikombe cha kahawa cha Kenya katika migahawa ya Starbucks na sehemu nyingine.

Naomba unionyeshe sehemu nimesema Tanzania ni number one katika uzalishaji. Pia, nionyeshe uzalishaji wenu duniani. Hata top 10 hampo ila mnapenda sifa za kijinga,
Tanzania inazalisha kuliko Kenya na Uganda yupo mbele kabisa.
Mimi natowa huu ushahidi, katika uzalishaji duniani, hampo.

Aug. 19 (Bloomberg) -- The following is a table of the world’s 10 largest coffee-producing nations, measured in thousands of bags, for the 2010-2011 crop year. One bag weighs 60 kilograms (132 pounds).
Data are from the U.S. Department of Agriculture.

World's top 10 coffee producers:

1) Brazil 54,500
2) Vietnam 18,725
3) Colombia 9,500
4) Indonesia 9,325
5) India 5,100
6) Ethiopia 4,400
7) Honduras 4,000
8) Peru 4,000
9) Guatemala 3,910
10) Mexico 3,700

ARABICA BEANS:
1) Brazil 41,800
2) Colombia 9,500
3) Ethiopia 4,400
4) Honduras 4,000
5) Peru 4,000
6) Guatemala 3,900
7) Mexico 3,500
8) Nicaragua 2,000
9) El Salvador 1,700
10) Costa Rica 1,575

ROBUSTA BEANS
1) Vietnam 18,150
2) Brazil 12,700
3) Indonesia 7,950
4) India 3,600
5) Cote d’Ivoire 2,100
6) Uganda 1,900
7) Malaysia 1,000
8) Thailand 900
9) Cameroon 525
10) Togo 525

Kenya iko wapi hapo?

source: Bloomberg.com

Coffee exporters 2014

Country60 kilogram bags

Brazil 45,342,000
Vietnam 27,500,000
Colombia 11,600,000
Indonesia 6,850,000
Ethiopia 6,500,000
India 5,005,000
Mexico 4,500,000
Guatemala 4,000,000
Peru 3,500,000
Honduras 2,700,000
UGANDA. 2,500,000
Ivory Coast 2,350,000
Costa Rica 1,808,000
El Salvador 1,374,000
Nicaragua 1,300,000
Papua New Guinea1,125,000
Ecuador 1,000,000
Thailand 1,000,000
TANZANIA. 917,000
Dominican Republic900,000
KENYA. 850,000
Venezuela 850,000
Cameroon 750,000

Usipende ubishi bila ya kujipanga vizuri. Utaumbuka.

source: en.m.wikipedia.org

alitaka tujue kuwa canada.
 
Last edited by a moderator:
Huku Bukoba mibuni ilishatoweka kitambo, tunalima vanilla, wakati huu pia hela ya mboga kutoka kwa ma Tiba inasaidia kidogo, nawaonea wivu watu wa moshi. In fact wahaya nani katuroga?

Ngoja niburudike kidogo na muziki wa jamaa anayejiita "Obugwaizoba"
Bukoba obugwaizoba, kazirooo maweee, Prof. Mukandara, Prof. Rwaitama, .....njoo tujenge Bukoba yetuuuuuu X3....

Nikwo kyoma.Unachosema ni kweli.Nakumbuka miaka ile naenda kwa babu ilikuwa kila asubuhi lazma tukavune kahawa.Siku hizi mibuni imebaki michache sana na watu wameacha kulima za biashara labda wanalima kwa ajili ya mila.(Akamwani).

Kilichochangia kahawa kufa Kagera hususani kiziba ambako natokea ni bei kandamizi ambazo zinapangwa na serikali kupitia vyama vya ushirika. Bei ipo chini sana na ya kinyonyaji inayopelekea wananchi kukata tamaa.

Miaka ile ya 2000 mwanzo nakumbuka kilo ilikuwa haizidi jero na tulikuwa tukienda kuuza kwenye duka la kahawa la kijiji(Sosaiti).

Wenzetu Karagwe wameendelea sana kwenye zao la buni maana bado wanalima kwa faida japo sio sana.Wanachofanya msimu ule wa kahawa hawauzi sana hivyo kutunza mpaka zikiwa adimu ndipo uanza kuuza kwa bei nzuri.

Faida nyingine kwa karagwe ni kuwa wanauza sana kahawa yao Uganda kupitia vijiji vya Murongo japokuwa kwa shida.

Hivi vyama vya ushirika vya kahawa ni wezi sana sijapata kuona,kwanza wanaiba kahawa za wakulima,wanauza kwa bei nzuri na kuneemesha matumbo yao wakati wakulima wakihangaika kila msimu wa kahawa.

Nyambafu KCU na KDCU LTD,acheni wizi,wanufaishe wakulima wa kahawa.
 
Kahawa ni nzuri sana ila mimi nikinywaga sijui kwanini mapigo ya moyo yanaenda mbio sana na sweat hadi nakosa nguvu.

kacheki moyo na presha ili uwe na amani. ukikutwa salama basi ujue tu hauelewani na caffeine. watu wenye low blood pressure huwa wanakunywa kahawa ili kupandisha presha. wenye high blood pressure huwa wanakatazwa kunywa kahawa.
 
Watanzania mnashangilia jambo lisilokuwa na uhalisia Tanzania kushika number moja sio kama inalimwa na Watanzania totally.

Hiyo ni nembo tu kiwanda chochote kinaweza weka ili kupata wateja sababu ya reputation nzuri ya Kahawa ya Tanzania kama unataka kujua kama uhalisia wa hii promotion ipo kawatathmin wakulima wa Kahawa vijijini.

wewe nawe unasoma kama vile vile unamakengeza, wapi wameandika kama kahawa ya Tanzania ni namba moja dunia, wacha kukurupuka
 
Kahawa ya Tanzania imeuliwa na wivu wa kike wa Benjamin Mkapa kwa Wachagga aliona kama Wachagga wataitawala nchi akaondoa ruzuku kwa wakulima na
Bei ikashushwa masoko yakatoweka.

Hata sasa kama wakijitahidi awamu hii wahakikishe wanarudisha viwanda binafsi na kwa ufanisi zaidi hata kuleta wataalam kutoka Ethiopia ikiwezekana au Brazil
Tatizo wakulima wanachakachua kila zao hata tumbaku tuko nyuma kwa kuchanganya grades.
Hiyo inachangia na serikali kutojali na kumpelekea Mkulima kushindwa kulima kwa utaalam zaidi
 
Hello wana-jf natumaini kila mmoja wetu ni mzima buheri wa-afya. Nasubili maswari kuhusu huu uzi wetu wa kahawa ya Tanzania hapa Canada
 
Hongera sana,Wabongo Tunywe kahawa ina faida sana.
 
Back
Top Bottom