The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
haya upanuzi wa barabara Kahama hakuna, basi furahi sasa... Songwe barabara inapanuliwa... Kakwangue barabara ya lami Kahama ibaki vumbi, ufurahi sasa... ua watu waliongezeka Kahama, Tunduma iwazidi ufurahi...Upanuzi wa barabara kuwa njia 4 kutoka Mlowo hadi Tunduma kuanza
Umeandika nini wewe? Barabara ziko Kusini huko migodini ni mavumbi tupuhaya upanuzi wa barabara Kahama hakuna, basi furahi sasa... Songwe barabara inapanuliwa... Kakwangue barabara ya lami Kahama ibaki vumbi, ufurahi sasa... ua watu waliongezeka Kahama, Tunduma iwazidi ufurahi...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ndio kuna hadhi kidogo ya kulinganishia na Kusini..We jamaa mbona unapenda kufanya ulingalifu na Kanda ya Ziwa...?! kila mmoja aishi anapoona panafaa, haya Tunduma ikiwa bora so what...?! mimi nikiishi Kahama we una athirika na nini...?! au nikishi sehemu za umasikini we inakuuma nini...?! kwani watu wa Kahama walishakuja kuomba msaada kwako...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mwaka 2006..Hivi mbeya si walizindua lifti ya kwanza mwaka jana?
Tunduma ifananishe na Tunduru sio Kahama.Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Una kichaa wewe sio bure Yaani ufananishe Tunduma lango la SADC na huo ujinga Kweli?.Acha masihala.Tunduma ifananishe na Tunduru sio Kahama.
Kweni Tunduru hakuna mishe mishe?Una kichaa wewe sio bure Yaani ufananishe Tunduma lango la SADC na huo ujinga Kweli?.Acha masihala.
Nimewahi lala sehemu inaitwa sijui Mpemba au sikosei kwa MpembaHii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa..
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani..
Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini..
Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama..
Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.
Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC
Hvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biasharaHii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa..
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani..
Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini..
Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama..
Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.
Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC
Mapovu mengi Sana mkuu picha ndio zinaongea ππππ..Hvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biashara
Una shida mahala wewe sio bure..Kwa taarifa yako saizi ndio kumenoga zaidi..Tunduma biashara ilikua zamani... sikuizi sio sana wakinga wengi waliokua Tunduma wameingia kariakoo, ila still kibiashara Kahama ina subiri kwa Tunduma
Kwa mji Kahama ni mjini kuliko Tunduma
Picha ndio zinaongea sio porojo..Tunduma ifananishe na Tunduru sio Kahama.