ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,157
- 85,040
- Thread starter
- #19,921
Pamejaa mabanda matupu hapa 😂😂
Pamejaa mabanda matupu hapa 😂😂
Mikdde Kama Kahama ni Town Kwa nini Bado investors Wana erect majengo makubwa makubwa Shinyanga? 👇👇
View: https://youtu.be/_QdsgOQHjns?si=HV9yVDrXP8fiSjfH
Nilisema Kahama ni gulio utabisha? 😂😂
Soma content kabla ya kukurupukaKwani kahama ipo mkoa gani ..tuanzie hapo kwanza 😁
Aliyekuambia kahama hamna majengo yanayojengwa ni naniSoma content kabla ya kukurupuka
Yako wapi?Aliyekuambia kahama hamna majengo yanayojengwa ni nani
Huyu Tajiri wa Chunya anawasaidia maisha huko kwenu Geita 👇👇
Ulitaka 6 lanes Highway njoo Mbeya 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DEwdUi-CjXl/?igsh=MTNjeHMxNHI1Ym9rdw==
Ukitaka njia 6 lazima uje Nyanda za Juu Kusini .Porojo zile zile hadi 2040
Majengo ya mbeya yako wapi 😁😁😁Poor infrastructure with few and agly buildings,yaani Manispaa nzima tujengo twa kutafutiza,poor you and your blogger
Wivu mama wivuPoor infrastructure with few and agly buildings,yaani Manispaa nzima tujengo twa kutafutiza,poor you and your blogger
Mbeya ni Kati ya Majiji 5 yenye majengo marefu Tanzania Kwa mujibu wa sensa so usije linganisha na huo upuuzi wa huko gulioni.Majengo ya mbeya yako wapi 😁😁😁