Haya Sasa na tulisha sema maboresho ya reli ya TAZARA yanaenda kuongeza nguvu ya uchumi kwenye miji iliyopitiwa na reli hii tayar Walianza mkoa wa njombe kwa kuchagua eneo la makambako ambapo wamepima zone tatu special kwa shughuli HiYo now songwe tayar wapo na project HiYo
NIMETEMBEA MIKOA 17 ILA NJOMBE NI MAHALI SALAMA KWA UWEKEZAJI, NJOMBE NI PAZURI ENENDENI NJOMBE KWA UWEKEZAJI.
Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amemaliza ziara yake ya kikazi Mkoani Njombe leo Februari 10, 2024 iliyokuwa na lengo la kutazama utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020/2025 pamoja na Kusikiliza Kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Ndg. Makonda alipokelewa jana tarehe 09 Februari 2024 na viongozi mbalimbali wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa wa Njombe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Deo Sanga.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka amemshukuru Ndugu Paul Makonda kwa kumaliza ziara yake salama kwenye mkoa wa Njombe na amempongeza kwa kazi kubwa anayoifanya ya kukijenga chama pamoja na kuwahudumia wananchi.
@ccmtanzania @baba_keagan
China proposes a $1 billion Tanzania-Zambia railway revamp
10:46 CAT | 08 Feb 2024
0 Comments Print Share
FILE - The line will compete directly with another railroad the US is backing to connect Zambia westward to the Lobito port on Angola’s Atlantic coast. [File photo: Tazara]
China to operate the historic railway on a commercial basis
Tazara to compete with a new one the US is backing to the west
China presented a plan to spend more than $1 billion refurbishing a key railway connecting Zambia’s copper heartland with the Indian Ocean port of Dar es Salaam in neighbouring Tanzania.
Beijing’s ambassador to Zambia, Du Xiaohui, on Wednesday handed the proposal to Frank Tayali, the nation’s transport minister, saying in comments broadcast on state radio that the investment amount would be over the “coming years.”
The Tanzanian and Zambian governments handed the concession to run the so-called Tazara railroad on a commercial basis to a Chinese state-owned company. A team from China Civil Engineering Construction Corp. visited the two African nations to study the line ahead of submitting the proposal.
China built and financed the 1,860-kilometer (1,156-mile) railway in the 1970s and it’s since fallen into disrepair, operating at a fraction of its design capacity. The line will compete directly with another railroad the US is backing to connect Zambia westward to the Lobito port on Angola’s Atlantic coast, both part of efforts to expand export routes for copper and cobalt mines in Zambia and Democratic Republic of Congo to the north.
The region is becoming central to efforts by the US and the European Union to secure access to minerals that electric-vehicle manufacturers can’t do without, and which are critical to the broader energy transition. Especially in Congo, China has been the dominant force for years.
China, Tanzania and Zambia will undertake the revitalization of Tazara using a public-private partnership model, Du said.
The announcement came a day before the US was due to host an investment
Kupitia huu mradi TPA wajiandae kuanza ujenZi wa bandari kavu makambako na tunduma ili kusaidia mizigo itakayotoka kwa tunduma mizigo ya mkoa wa songwe na rukwa kwa makambako ni njombe ,ruvuma ,iringa na baadhi ya wilaya za mbeya kama mbarali pia haya maeneo abiria watakwenda kuongezeka kutokakwenye hayo maeneo ko hata ruti za mabus kwenda kwenye vituO hivyo zitakuwa nyingi Sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.