Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha wivu na Mbeya hata kama huipendi ila mjini Kwa Sasa ni Mwanjelwa Wala hakuna ubishi Kwa Hilo.

Ila tuu inatakiwa waongeze Kasi ya ujenzi wa magorofa,Kwa hadhi ya Jiji kuwa na projects 6 tuu Kwa mwaka tena kuanzia Mbalizi-Uyole haitoshi.
View attachment 2864186View attachment 2864187View attachment 2864188

Kwenye viwanda Mbeya inafanya vizuri sana nimeona viwanda vipya vya Mabati na rangi mfano Kiboko,Taishan na Drago View attachment 2864184

View: https://youtu.be/oHEmYUTnpIc?si=JttoNC-kLHwaP2H9
 
Nyumba ni choo watu hawajengi choo wanakunya porini madhara yake ndo haya
1704644297924.jpg
IMG-20231120-WA0004.jpg
 
Acha wivu na Mbeya hata kama huipendi ila mjini Kwa Sasa ni Mwanjelwa Wala hakuna ubishi Kwa Hilo.

Ila tuu inatakiwa waongeze Kasi ya ujenzi wa magorofa,Kwa hadhi ya Jiji kuwa na projects 6 tuu Kwa mwaka tena kuanzia Mbalizi-Uyole haitoshi.
View attachment 2864186View attachment 2864187View attachment 2864188

Kwenye viwanda Mbeya inafanya vizuri sana nimeona viwanda vipya vya Mabati na rangi mfano Kiboko,Taishan na Drago View attachment 2864184
Nyinyi ndo mnajisifia mabasi 😂😂

Imagine huyu ni muhaya mmoja na mabus yake ya shule...

View: https://twitter.com/djnsajigwa/status/1744221585429475534?s=19
 
Back
Top Bottom