ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,312
- 88,347
- Thread starter
-
- #17,461
Kwani viwanja vilivyopo Tanzania vinapata ndege kutokea wapi na kwenda wapi?Hik
Hiki kiwanja nacho kinategeemea kupata ndege za kutokea sehemu gani na wanaenda wapi?
Acha dharau kijana😂😂😂Manesi mumekutana 😂😂
Sumbawanga kuna abiria gani?😝😝😝Kwani viwanja vilivyopo Tanzania vinapata ndege kutokea wapi na kwenda wapi?
Acha kuropoka,mojawapo wa hao Abiria ni Mimi.Sumbawanga kuna abiria gani?😝😝😝
Unatoka njombe kwenda sumbawanga kwa ndege aina gani? Labda kama ndege mnyama jamii ya bundi.Acha kuropoka,mojawapo wa hao Abiria ni Mimi.
Tunaenda DarUnatoka njombe kwenda sumbawanga kwa ndege aina gani? Labda kama ndege mnyama jamii ya bundi.