ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,483
- 88,621
- Thread starter
-
- #17,421
Ndio nakwambia ipo SasaKwenye bandikk wamesema mitaro pande zote za barabara lakini sijaona mkataba wa kujenga kingo za mto mirongo kama tulivyoambiwa ambazo ni zaidi ya 9km.
Nzuri zipo kama zote kama hizi hapa 👇Lakuvunda halina ubani bro😂😂 atapata wapi picha nzuri kila sehemu ni mazizi ya ng'ombe.
Jiji la pili Kwa Ukubwa mdomoni ila sio Kwa vitu vya msingi ndio maana mnapuuzwa 😂😂Punguza jazba Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa na ukiangalia hatutendewi haki Mwanza jiji inapata 14km hii ni haki kweli? Na mji kama tunduma nawenyewe umepata kilometa 14 sawa na Mwanza cc, huoni sio sawa.
Hii kauli yenu huwa nataman niunde serikali nyingine, tuwaache na ujinga na upumbavu wenu wa kuabudu dar, siku mkijengewa zahanati na madarasa mawili mnaona kama hisani wakati ni haki yenu, endeleeni kuitumikia Dar na dodoma, sisi huu ujinga tunakaribia kuumaliza.Dar ni exceptional.Dodoma inaenda kuwa exceptional nyingine so nyie kina Mwanza na Mbeya jiongezeni
CBD nzima naona tughorofa tuwili hamna tofauti na manyoni😜😜😜Nzuri zipo kama zote kama hizi hapa 👇View attachment 2768716View attachment 2768717View attachment 2768718View attachment 2768719View attachment 2768720
Tunapuuzwa na serikali ya kishamba, yenye mawazo ya kizumbukuku yasiyokuwa na tija, failure state.Jiji la pili Kwa Ukubwa mdomoni IPA sio Kwa vitu vya msingi ndio maana mnapuuzwa 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 Ingia msituni Jamaa tuko nyuma Yako 😁😁Hii kauli yenu huwa nataman niunde serikali nyingine, tuwaache na ujinga na upumbavu wenu wa kuabudu dar, siku mkijengewa zahanati na madarasa mawili mnaona kama hisani wakati ni haki yenu, endeleeni kuitumikia Dar na dodoma, sisi huu ujinga tunakaribia kuumaliza.
Serikali zote,kama Mwendazake alishindwa kuibadili Mwanza ndio imemkata,zile pesa za mashetehe badala aamuru zikajenge Mwanza alikuwa anakomaa na Dar tuu.Tunapuuzwa na serikali ya kishamba, yenye mawazo ya kizumbukuku yasiyokuwa na tija, failure state.
Mbeya Ina CBD 2.Mwanza na Mbeya hatuchekani 😂😂CBD nzima naona tughorofa tuwili hamna tofauti na manyoni😜😜😜
Serikali ya majimbo ndio tiba ya huu ujinga wa hii nchi.Serikali zote,kama Mwendazake alishindwa kuibadili Mwanza ndio imemkata,zile pesa za mashetehe badala aamuru zikajenge Mwanza alikuwa anakomaa na Dar tuu.
Nichagueni niwe Rais nikomeshe tabia ya upendeleo Kwa kuja na sera nzuri ya mgawanyo wa mapato
Kila mtu ale alikopeleka mboga.Serikali ya majimbo ndio tiba ya huu ujinga wa hii nchi.
Hata bila Majimbo,inabakia Mikoa hivi hivi ila mnaweka kanuni kama population size,nature ya landmass,GDP contribution,social factors,size of landmass nkSerikali ya majimbo ndio tiba ya huu ujinga wa hii nchi.