ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,345
- 88,402
- Thread starter
-
- #17,121
Kumbe tunakubaliana kwamba Ziwa ni bottleneck
Takwimu zinawakataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mara ya mwisho kusikia Kiwanda Mwanza ilikuwa 2019 [emoji16][emoji16]
Mbeya is rising
Takwimu za mwaka Jana ndio unazileta saizi ?ππTakwimu zinawakataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2704700
Makopo ya kuchezea Watoto,Vitu piruu vinafanania hivi π
MCV? [emoji3][emoji3][emoji3] maake hapo kwanza nichekeVitu piruu kama hivi Mwanza mtaishia kuviona twitter tuu