KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Mbona hizo ofisi hazipo mbeya?
Hili ziwa linaitwaje?Kitombile In case you don't know kuhusu Mbeya soma hapa 👇
View attachment 2626838View attachment 2626839
Chuo kikuu Cha mbao et eh ..... ukiniletea tcu admissions book yenye amani university nitag nileft uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka ka mtumbwi kamekuwaje tena?Karibuni Mbeya City Expo
Wivu 🤪😜Haka ka mtumbwi kamekuwaje tena?
Utakuwa unakalia Mafinger weweKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?