Kahama VS Njombe/Mafinga

jengo la umoja wa posta sio kipya?
1587834661583.png

Mwambie Mjomba wako Kahama hawapokei wakimbizi, huwezi sikia mtu anatoka Kahama kwenda Njombe kutafuta maisha.
 
Attachments

  • 1587834552097.png
    1587834552097.png
    4.8 KB · Views: 2
wakuu naona mmeamua kuongea nje ya mada ya Kahama v Njombe/Mafinga.Naona wengine mmeenda mbali kuzungumzia kanda.
Natamani tubaki kwenye mada maada ukizungumza kanda hata serikali inajua kua Ukiondoa kanda ya Kasikazini mashariki yaani arusha,Kilimanjaro,Tanga,Manyara zinazobustiwa sana na utalii, Kanda inayofuata kwa kupiga hatua kubwa kimaendeleo ni nyanda za juu kusini Magharibi yaani Mbeya,Njombe,Iringa na hata Ruvuma kwa upande wa kusini.
Tizama katika Takwimu za mikoa iliyopiga hatua Nyanda za juu iko juu.Hivyo kanda ya ziwa haiwezi izidi Nyanda za juu.Jiji la mwanza pekee yake haliwezi kua sababu ya kuona kanda ya ziwa imepiga hatua.Zipo factor zinazoisaidia kanda ya Nyanda za juu kupiga hatua ,moja ni TAZAM HIGHY WAY,Kilimo,ukaribu wake na bahari ya hindi hivyo kuipa urahisi wa biashara,na kupakana nchi mbili kwa karibu yaani Malawi,Zambia pia ni lango la kuingilia Congo kwa upande wa kusini .
Viwanda ni vingi zaidi nyanda za Juu hususani vya kilimo mfano mkoa wa njombe pekee una viwanda vya chai,parachichi,miwato,Maziwa,takribani kumi tano achilia mbali maviwanda ya mbao pale mafinga,vyote hivyo vinaichagiza kanda ya nyanda za juu,
 
ameneo mengine ya Njombe nje Kabisa na CBD zaidi 40 km
 
Attachments

  • dansland tea estate  -Njombe.png
    dansland tea estate -Njombe.png
    19.6 KB · Views: 3
  • imiliwaha Covent 2-Njombe.jpg
    imiliwaha Covent 2-Njombe.jpg
    69.2 KB · Views: 4
  • Imiliwaha Covent -Njombe.jpg
    Imiliwaha Covent -Njombe.jpg
    5 KB · Views: 4
PUT YOUR MONEY WHERE YOUR MOUTH IS

Kwa mujibu wa Ilani ya Chama tawala 2020-2025, miradi mikubwa ya barabara na reli........kati ya WILAYA ya KAHAMA na MKOA wa Njombe

KAHAMA WILAYA (JUMLA Kilomita 1003.31 za lami)
Geita – Bukoli – Kahama (km 107);
Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (km 149);
Mwanangwa – Misasi – Salawe – Kahama (km 149);
Mpanda - Ugala - Kaliua - Ulyankulu - Kahama (km 428);
Kahama – Nyamilangano – Uyogo (km 54);
Mambali – Bukumbi - Ishilimulwa – Shitage– Kahama (105km)
Kagongwa – Bukooba (Kahama) - (km 11.31)

Miradi ya Reli (Hii haihusishi reli ya kutoka Isaka - Kigali kilomita 356)
Ujenzi wa reli ya Standard Gauge kutoka Tabora – Isaka (KAHAMA) (km 130), Isaka (KAHAMA) – Mwanza (km 250);

NJOMBE MKOA (JUMLA Kilomita 479.55 za lami)
Njombe (Kibena) – Lupembe – Madeke (Mfuji);
Morogoro/Njombe Border (km 125);

Njombe – Ndulamo – Makete;
 Sehemu ya Njombe – Moronga (km 22.9);
 Sehemu ya Moronga – Makete (km 37.65);

Njombe (Ramadhani) – Iyayi (km 74);
Ifakara – Mlimba – Njombe (km 220)
 
Hizo barabara hapo juu section ya Kahama barabara za mikoa za kujaribu kuipush Kahama isizidi Kusinyaa wakati kwa section ya Njombe hizo zote ni barabara kuu(trunk roads) za kuinganisha na mikoa mingine isipokuwa hiyo ya Njombe-Iyayi na Makete-Makete-Isyonje/Mbeya,,hizo za sections za Njombe-moronga na Moronga-Makete zimekamilika tena kwa asphalt standard sio kwa surfae dressing kama za huko Kajamaa.
Kuna barabara nyingi ambazo zinaendelea kujengwa na zimetajwa kwenye ilani hujaziweka kwa mfano Itoni/Njombe-Ludewa-Manda iko inajengwa tena kwa zege umbali wa km 100,,pia hujaiweka barabara ya Manda-Mbamba bay Ruvuma,Ludewa-Madaba/Songea na pia hujaweka ukarabati wa barabara kuu ya Makambako-Njombe-Songea,zote hizi ziko kwenye ilani ila unajifanya hujaziona.
Kuhusu reli naomba ieleweke kwamba Isaka sio kahama halikadhalika sgr ya Mtwara-mbambabay itakuwa na matawi mchuchuma na liganga,sio Njombe mjini ila ni mkoa wa Njombe kama tu ambavyo Tazara inapita Makambako ndani ya Njombe..Hoja yangu hapa ni kwamba hakuna haja ya kuiweka isaka maana sio Kahama hata kama iko ndani ya Wilaya ya Kahama.Mkuu kiufupi ni safe kuwekeza Njombe kuliko Kahama maana wenzio huku kila kona ya hizo roads hapo juu zinafungua fursa kubwa ya mazao ya matunda/parachichi,nafaka na bidhaa za miti.
 
Hatuwekezi trillions za watanzania kwenye uchumi wa parachichi.
 
Back
Top Bottom