KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
MBna uchafuAround makambako tc tarura wanazidi ku connect Barabara za lami na sub town na hapa ni ilembula now ni km 26 from makambako baada ya ujenzi wa short cut way full kujengeka
View attachment 2566129
Na kwenye top ranking za maeneo yanayoingiza mapato makubwa ya serikali mafinga ipo huwezi linganisha na kahama
😁😁😁Ndo Kila siku nasema polen mpaka Leo Mikoa haijaunganishwa Kwa lami na unapost bila aibu kweli dishi lako haliko sawa
Nasem
CSR mwipate wapi wakati hamna mgodi mkubwa.
Hyo ipo Kila siku unapost 😂😂
Lakini tumewafunika Kwa Kila kitu.Tarime DC ndio hupata CSR lakini wambie wakuoneshe Maendelea sasa 😀😀CSR mwipate wapi wakati hamna mgodi mkubwa.
Mbona kimji kidogo hvyo barabara Moja kama ilula iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hii itawanyoosha sana wazee wa kadarajaHyo ipo Kila siku unapost 😂😂
Sisi haiwez kufua dafu maana dual carriage ipo Toka muda sana na tena wametangazaNdio hii itawanyoosha sana wazee wa kadaraja
MBna uchaf
Hahaha kichwa empty hadi misingiHela ya hii foundation kusini wanajenga shule
View attachment 2566262
ASEe pole naona ukiona miji ya kusini unaumia kweli kweli na bado mtaendelea kuletewa moto tu
Acha utoto umewahi pita Sam Nujoma Road? Ile ndio njia 4 ya viwango itayojengwa Mbeya sio upuuzi kama huo wa Mwanza.Sisi haiwez kufua dafu maana dual carriage ipo Toka muda sana na tena wametangazaView attachment 2566263
Utarukaruka sana lakin dozi inakukaa vilivo 😂😂Acha utoto umewahi pita Sam Nujoma Road? Ile ndio njia 4 ya viwango itayojengwa Mbeya sio upuuzi kama huo wa Mwanza.
Huko hamna helaaHahaha kichwa empty hadi misingi
Ndio na ndo maana miji ya biashara Ina watu wengi kuliko mashambani tunaenda kulima TU mfano mm nalima mbeya nasafirisha tena angalau Ile Barabara wanapiga dual carriage nisafirishe viz