Kahama VS Njombe/Mafinga

Kweli kabisa kaka uchumi wa hii nchi ni dar na lake zone huko kwingine..Tunawabeba tu
Ndio wamejaa ubishi wa kijinga huku hawana Kila kitu,, lake ni nchi kabisa inakila kitu lakin kusini wakiunda nchi Yao lazima wafe pimbi hao maendeleo watayaskia tu
 
Just imagine kusini wakijengewa ghorofa floor tano wanatamba nalo wakat sisi huku tunayafanya godauni la kutunzia nyavu na vifaa
 
Kusini wanajizima data mbwa Hawa wanasahau wanakunywa maji ya jambo,kiwanda kipo shinyanga
 
Makampuni kutoka Kila Kona ya Dunia Yana miminika mkoa wa njombe kununua parachichi mkoa unazidi kufunguka kimataifa zaidi sio level za shinyanga kwa wachunga ngombe mkoa uliodumaa mkoa wa njombe watu wanapesa balaa
 
Ludewa dc njombe region mlima wa chuma Na makaa ya mawe

 

Attachments

  • FB_IMG_16786273042055745.jpg
    36.7 KB · Views: 8
  • FB_IMG_16757340856327748.jpg
    32.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…