Kahama hapa Tanzania inajulikana Kila uchochoro lakin jombe huku hata wengine hawaijui na ukiwambia mkoa wanashtka maana Haina maajabu yoyote ipo TU imezubaa kama white elephant at mid forest
Ukiwa MBEYA ikifika saa tatu na nusu usiku hakuna raia Wala gari wanabak vibaka TU na pamepoa kweli akuna at band watu wanaenda city hotel kidogo kunauafadhal yaan mji ule mbovu kweli