Kahama VS Njombe/Mafinga

Nakuja leten mijengo yote mbeya,ruvuma,mtwara,na njombe jitahidin nipo kahama
 
Tender za magorofa zimetangazwa Tunduma, extension of Tunduma hospital na administration block
 
Majengo ni hayo TU mbeya nzima ambayo ukiyakusanya Kwa mwanza ni sawa na jengo moja tu hili hapa

 
Mm nikihamia mwanza stawatendea haki maana sio size yenu at Mimi nitakuwa bwege Bora nikomae nanyi na kahama kidogo mnataka kuikaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…