KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Fursa Gani ziko huko kupita Kanda ya ziwa? Ewe pimbiUsiongee kama hujabalehe au wew sio mwanaume wenzio wanashindana kwa fursa zilizpo kwenye miji wew unaleta hbr za nyumba dah yan hata kubishana na wew ni kupoteza muda
Tufananishe kama unaweza maana kimajengo ya hadhi ad vijijini tuko mbele fursa za Biashara ndo usiseme, Bandari kavu ipo,tren ipo na nyingine inajengwa SGR,mbuga za wanyama ndo usiseme, kuhusu suala la mboga ndo mahala pakeIli uweze kushindanisha lzma ufananishe kwa nyanja zote kuanzia kiuchumi na kijamii ndo utapata jibu ila kwakuwa kupost nyumba hapo cwez kushindana na wew unaonea huna akili na hujakuwa na hujui maana ya kulinganisha miji
Wanaizd kwa kitu gan lbda tolea maelezo
Wa bush ni wabush tu huji kubadilika ww unapost ushuzi tuNyie pimbi nipo mitaani nawaonyesha uzuri wa ordinary city of kahamaView attachment 2549088View attachment 2549089
Ila uvivu ndio unaleta njaa au sio mr.lazy? 🤪🤪Mvua nyingi mno sisi tumebarikiwa Kila kitu halafu hayo magari yanawaleta mwanza kushangaa miamba,samaki,na uzuri wa Jiji fahari ya Tanzania
Unaijulia wap njombe mshamba wwSio kuambiwa mm njombe mwenyeji ila sana mbeya naijua nje ndani Jiji la bajaji ndo usafiri mkuu halafu ukijifanya kupenda maendeleo wanakuloga pia wanachuna ngozi but still ni masikin maana SONHEA haiwezi bato na MASWA
huyu jamaa ni bonge la mshamba haijawai kutokeaIla uvivu ndio unaleta njaa au sio mr.lazy? 🤪🤪
Tumesha kwambia leta CBD YA GULIO LA KAHAMA unahangaika na vijumba vya mitaanKusanyen mizengo yote mikali Kanda yenu ya kusini mje mshindanishe na kahama pekee niwatoe pumbu wajaa laana nyie
Naijua nje ndani na usichokijua Niko na miez Saba nimetoka hukoU
Unaijulia wap njombe mshamba ww
Mm nakupa mitaa ya kahama TU we let mitaa ya mikoa yote kusini
Mmerudi pimbi nyie tulienihuyu jamaa ni bonge la mshamba haijawai kutokea
Just jokes,you can create memes more as you can but we still ahead on you
Naijua nje ndani na usichokijua Niko na miez Saba nimetoka huko
Ndo maana mji wa iringa unazd kujenga magorofa bila uoga kuliko mbeya
Njaa sehem yenye surplus ya chakula unaakili wew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila uvivu ndio unaleta njaa au sio mr.lazy? [emoji2957][emoji2957]