Mussa Montelli
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 188
- 82
Endelea kupost nyumba za watu maana ndo akili yako ilipoishiaNyie pimbi nipo mitaani nawaonyesha uzuri wa ordinary city of kahamaView attachment 2549088View attachment 2549089
Za kuambiwa changanya na zako huo ni mtazamo wake na usipende kuamn cha kuambiwa jiongeze mtoto wa kiumeMawazo ya mwenzenu hyo alikuwa analalamika
Mtakoma pimbi huko mmelaaniwa nani ajenge kusini
Airfryer
Airfryer
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#1
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.
Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjini?
Huu mji kwa maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, zaidi ya miaka 18 niliyoondoka huku no changes!
Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma droo hapa mjini.
Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashimo.
Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga huko. Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya bar.
Songea ukisema leo natoka ni kwenda bar, hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mjini.
Wazoefu wa miji, huu mji una tatizo gani?
Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopita. Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mikoa.
Soko la hapa Songea Mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana na kamejibana sana, kwanini wasiliamishe soko hilo?!
Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, sijajua kwanini waliamua kuacha soko la mtindo huu.
Kuna stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mpya.
Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha daladala hivi.
Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanuzi.
Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao wamejenga stand nzuri na za kisasa sana.
Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana.
Jumatatu naelekea Lindi, nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodoma.
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Yakunle, Chichi09, MzalendoHalisi and 16 others
Nawaonyesha uzuri wa ordinary city of kahama pimbi nyieEndelea kupost nyumba za watu maana ndo akili yako ilipoishia
Sio kuambiwa mm njombe mwenyeji ila sana mbeya naijua nje ndani Jiji la bajaji ndo usafiri mkuu halafu ukijifanya kupenda maendeleo wanakuloga pia wanachuna ngozi but still ni masikin maana SONHEA haiwezi bato na MASWAZa kuambiwa changanya na zako huo ni mtazamo wake na usipende kuamn cha kuambiwa jiongeze mtoto wa kiume
Maswa ni manispaa au mjiSio kuambiwa mm njombe mwenyeji ila sana mbeya naijua nje ndani Jiji la bajaji ndo usafiri mkuu halafu ukijifanya kupenda maendeleo wanakuloga pia wanachuna ngozi but still ni masikin maana SONHEA haiwezi bato na MASWA
Cheki wenzenu kilo hukoMad MaxMaswa ni manispaa au mji
Huna kingne cha kupost lbda hii tumeichokaC
Cheki wenzenu kilo hukoMad Max
Mad Ma
JF-Expert Membe
Sep 3, 202
Add bookmar
#
Airfryer said
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004,Sioni mambo mapya kabisa wala Ukuaji wa mj
Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la Tanes
Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjin
Huu mji kwa Maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, Zaidi ya miaka 18 niliondoka huku no chang
Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, Sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma ndroo hapa mji
Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashi
Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga hu
Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, Hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya B
Songea ukisema Leo natoka ni kwenda Bar, Hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mji
Wazoefu wa miji, Huu mji una tatizo gan
Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopi
Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mik
Soko la hapa Songea mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana sana na kamejibana sana sana, Kwanini wasiliamishe soko hi
Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, Sijajua kwanini waliamua kuacha soko la Mtindo h
Kuna Stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, Hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mp
Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha dala dala hi
Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanu
Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao Wamejenga stand nzuri na za kisasa sa
Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana sa
Jumatatu naelekea Lindi Nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodo
Mods badilini Title ni haibadil
Click to expand...Unaenda Lindi? Bora ughairi
Mi ndio nipo hapa same kama wewe nimekuja kuzurura. Aisee. Nilikua nimejiandaa kwamba Lindi pakiwaki ila nimekuta pakiwaki zaidi tena na ten
Nilipanga nikae 2 days niende N'twara sahivi nipo kwenye gari nasepa. Ngoja nikaone iyo Mtwara na Masas
Tukirudi kwenye mada: Songea tatizo ipo mbali na kila mkoa aisee. Imejitenga kinoma. Imagine Songea to Njombei.a..ikimananaziviyauulooatai?niarkomoniesi?coi:4k2rx
Wanaizd kwa kitu gan lbda tolea maelezoMji lakini ni Zaid ya ruvuma na njombe