Kahama VS Njombe/Mafinga

Masikin hyo ni shule unaleta Kwa wanaume njoo rock city uone international school na sio Hilo jengo huku kwetu Kuna jamaa mvuvi hutumia kutunzia nyavu TU
Pride of Southern,imekuja kuwasaidia usafiri maskini wa Mwanza.

 
Soma ta
Hivi unajijua kenge ew unaongelea wodi 😂😂😂 ndo maana Jana ulisema njombe Ina hospitali 22 hii ni kia's Gani ufupi hasara Kwa taifa hujui kutofautisha hospital, zahanat,na kituo Cha afya
Soma takwimu za sensa usiwe bongo lala kiasi hicho njombe hosp 22 na shinyanga 15
 
Yani mnatuonyesha vimbweta vya kupumzika et ni Maendeleleo siku nyingine upite Barabara ya mafinga hadi Igawa hivyo vimewekwa vya kutosha shida ni kuto tembea na ushamba
Mm nakupa mitaa ya kahama TU we let mitaa ya mikoa yote kusini
 
Yani mnatuonyesha vimbweta vya kupumzika et ni Maendeleleo siku nyingine upite Barabara ya mafinga hadi Igawa hivyo vimewekwa vya kutosha shida ni kuto tembea na ushamba
Mm nakupa mitaa ya kahama TU we let mitaa ya mikoa yote kusini
 
Let picha za Mikoa yote kusini na uokoteze maana unaokotaga ad nje ya nchi njoo ni kunyooshe na kahama pekee pimbi la kusini
 

Attachments

  • IMG_20230312_175722_888.jpg
    718.3 KB · Views: 8
Napost kahama kijijini hapo lakin check majumba hayo post nany kijijini tuone pimbi nyie
Usiongee kama hujabalehe au wew sio mwanaume wenzio wanashindana kwa fursa zilizpo kwenye miji wew unaleta hbr za nyumba dah yan hata kubishana na wew ni kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…