KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Ngoja waendelee kUkujifariji wakati huku maendeleo Kila konaKumbe ukweli anaujua...
Kagera pamoja na kuwa na GDP per Capita ndogo kadri ya BOT...lakin ni mpaka mmoja tu wa huko kyerwa hauna lami...
Na wilaya zote zimeunganishwa na lami. Na sasa Hadi baadhi ya vijiji potential vinaunganishwa na lami.
Uwanja wa ndege uko busy
Meli ya mv Victoria inafanya kazi na imekarabatiwa....na Kuna mpya inajengwa.
Bandari zote zimekarabatiwa bukoba na kemondo...
Wakazi wake wanajenga nyumba Bora vijijini.
Halafu mtu anasema Ruvuma sijui njombe wakati Bado umaskini umetamalaki
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Malila
JF-Expert Member
Feb 7, 2023
Add bookmark
#63
kumusoma said:
Ndugu jaribu kuandika ,ukweli.Njombe Ni sehemu ambayo JPM aliitengeneza vizuri Sana.NimekaaNjombe miaka mitano.Kuna soko kubwa zuri Sana.Walijengewa barabara ya lami kutoka Njombe mpaka Makete.Ludewa ,walijengewa barabara ya lami na zege.Jaribuni kutembea kabla hamjaandika.Wabena na wakinga wanamkumbuka Sana JPM.Labda Samia ndio hajafika huko.
Click to expand...Kwenda Makete kuna lami ni kweli, ila kwenda Ludewa, mziki bado sana mkuu. Wameruka ruka sana. Ila barabara toka Mbinga kwenda Mbamba Bay imejengwa vizuri, hapa tuwe wakweli, kazi imefanyika hasa.
Thanks Quote ReplyReport
First
Prev
4 of 4
Write your reply...
Post reply
Attach files
Similar Discussions
CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!
Started by johnthebaptist Jan 17, 2023 Replies: 103
Jukwaa la Siasa
NetMaster
Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?
Started by NetMaster Jan 19, 2023 Replies: 14
Jukwaa la Siasa
Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini
Started by Lucas mwashambwa Aug 8,3 2023 Replies: 37
Jukwaa la Siasa
masopakyindi
Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru
Started by masopakyindi Aug 13, 2022 Replies: 102
Jukwaa la Siasa
The Sunk Cost Fallacy
Kwa mara nyingine Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Kusini zimetengwa kwenye ufadhili wa masomo ya ubobezi wa kitabibu
Started by The Sunk Cost Fallacy Oct 29, 2022 Replies: 36
Habari na Hoja mchanganyiko
Share:
Link
Jukwaa la Siasa
Contact us Terms Privacy Policy Help
5 Reactions
Reply
Google Translate
Original text
Contribute a better translation
Tembe za huko nazo ni nyumba mnaishi kama panya bukuTulia dozi ikukae kenge wa kusini Nye logen TU na kujenga nyumba za miti
Onesha tembe ya Kanda ya ziwa kama tuna tembeTembe za huko nazo ni nyumba mnaishi kama panya buku
SHINYANGA hakuna nyumba za miti kenge amka
Unabisha Nini zimejaa hatariSHINYANGA hakuna nyumba za miti kenge amka
Hatar ndo Nini we kima hatuwez lingana na ninyi mjini mbalizi,nzomve, itigi pote nyumba za tope haya nambie shinyanga mjini kama Kuna nyumba ya tope ewe kima mjaneUnabisha Nini zimejaa hatari
Ushetu hyo wilaya ya juzi hapa lakin Barabara zake mikeka japo sio lami na ingia website Yao uoneEti wilaya za shinyanga zote Zina lami haha hapa ni ushetu lami Iko wap kweli kulinganisha mkoa njombe na shinyanga ni sawa na mbingu na ardhii
View attachment 2547196
CHEKI MAENDELEO HII NI JANA WAMEKAA NA TAYARI LAMI ZA KUMWAGA
CCM MAGU YATOA WITO WANANCHI KULINDA NA KUITUNZA MIUNDOMBINU YA BARABARA.
Magu-mwanza.
Jumamosi 11.03.2023
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Magu Cde.Enos Kalambo ametoa wito kwa Wananchi kulinda na kuitunza Miundombinu ya barabara zinazojengwa kwa kiwango cha Lami na Changarawe Wilayani Magu.
Mwenyekiti aliiongoza Kamati ya Siasa ya Halmashauri kuu ya CCM Wilaya kwenye ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Uchuguzi mkuu.
Kamati ilitembelea Miradi ya Barabara ya Kisesa-Bujora na RC hostel Isandula zinazojengwa kwa Kiwango na Lami na Magu Ginery(Ilungu)-Kinango, Kisesa ‘A’ Malilika –Kisesa ‘B’ zinazojengwa kwa Changarawe.
Meneja wa TARURA wilaya ya Magu Mhandisi Wawa Nyonyoli alitoa Taarifa mbele ya Kamati Kuwa Barabara ya Kisesa-Bujora (Km1.72) tayari 0.4km imejengwa kw alami mwaka 2019/2020 na Km1.32 inajengwa awamu ya pili kwa Tsh.1,421,671,295.20 na Mkandarasai MUMANGI CONSTRUCTION CO. LTD Mradi unatarajia kukamilika 04.04.2023.
Barabara ya RC-Hostel(Isandula) km 0.5 inajengwa kwa Tsh 500 milioni za mfuko wa jimbo wa Barabara kwa kiwango cha lami na Itakamilika Mwezi Juni 2023.Barabara ya Kisesa ‘A’-Malilika-Kisesa ‘B’ km 23.55 gharama za Mradi ni Tsh.449,925,260.00 inatarajiwa kukamilika 04.04.2023 na Barabara ya Magu Ginery(Ilungu)-Kinango inatarajiakukamilika mwezi April 2023.
Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM Enos Kalambo amepongeza kazi nzuri ya Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe: Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN Kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta fedha za miradi ya maendeleo. Nakupongeza sana Meneja wa TARURA Mhandisi Wawa unapiga kazi nzuri sana endelea hivo.
‘Tumuunge Mkono Rais wetu kwa kuilinda na kuitunza miradi hii ni kwa ajili yetu Rais katujengea, Tusipitishe mifugo kama ng’ombe na tusifanye shughuli za kibanadamu katika hifadhi za barabara ili miradi hii idumu ikitusaidia kusafiri kwa urahisi zaidi, Nataka niwahakikishie kuwa Mhe: Rais anatupenda sana Watanzania na ndiyo maana Serikali yake ni sikivu na inatekeleza kwa vitendo ilani ya Uchaguzi, Hakuna Chama kingine chenye dhamira ya kweli tofauti na CCM, Wengine ni wapiga porojo ambazo hazina faida kwa wananchi’ (Alisema Enos Ndobeji Kalambo-Mwenyekiti wa CCM (W) Magu.
Imeletwa kwenu na
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Magu.
Kachunge ngombe wew zitakula mahindi ya watuNyie mbwa wa kusini mko wapi
Mmeshikilia kwenye report za miaka ya 2000, leta report mpya ya 2022 uone kanda ya ziwa ilivyowapelekea moto