Kahama VS Njombe/Mafinga

Mikeka inaunganisha wilaya na wilaya ndani njombe region shinyanga mapito ya ngombe ya kutosha mikeka sio kiwango kama hichi road ya makete hiyo


 
Hizo kutu vip pimbi Sasa njombe itaunga wapi labda huko kusini TU lakin shinyanga inaunganisha mikoa yote Tanzania huwez kuja mwanza bila kupita shinyanga hu
Pole Yako ambae ulifeli SoMo la jiografia hujui tazam road iliyopita njombe inaanzia misri had south Africa afu bado songea road inaenda hadi msumbiji,makete road inaenda hadi malawi kwa kuunga na Ile ya uyole muwe mnatembea msichangie point ambazo hata hujui jiografia ya nchi yako
 
Shida watu wafupi mawazo mgando sana
 
[QUOTE="Nick joseph, post: 45627513, member: 697555"] Kufarijiwa watalii Nini kusini yaan kip Cha kutalii [/QUOTE] Huku hawatalii ngombe na mashimo kama Kanda ya ziwa ukitoa arusha na kilimanjaro nyanda za juu kusini inafuata mbwa ww mlichelewa wap kukaa darasan mkawa mnaishia kuchunga vindama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…