ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,367
- 88,457
- Thread starter
-
- #13,461
Kati ya Tunduma na Kahama wapi Kuna Malori? 🤪🤪🤪🤪🤪🤪Kenge kasema stand ya malori amesahau Mimi nmepost bonge la stand kahama tena stand ya malori yote afrika mashariki maana ni Bandari kavu pia Jiji la biashara
Toka jana mnapost Hilo jengo la mama na mtoto ambalo limejengwa Kila mkoa huku Kanda ya ziwa hilo at hatupost japo lipo maana tunaona la kawaida ila ngoja nikupe uone urizike mbwa weee
Hatuna mda wa kujibu mambo ya kijinga,kawaulize ndugu zako waliokimbia njaa huko kwenu watakupa majibu..Tumewaambia leten orodha ya fursa zipatikanazo kusini lakin mnaruka ruka kenge wajawazito nyie
Watu wafupi akili ziko matakoni sjui unapost jengo la mama na mtoto wakat hat huku lipo na tunayaona hayana maana at hayaonekani ila nakupa haya hapa njoo na kingine kichwa panz ewe
Mwanza zipo hospital za hadhi zinaelea majini mgonjwa ukiona mandhar TU unapona kengeHatuna mda wa kujibu mambo ya kijinga,kawaulize ndugu zako waliokimbia njaa huko kwenu watakupa majibu..
Hakuna malori ni njia ya malori ila KAHAMA. Ni hub kabisa shida ufupi unawasumbua kuwaza pafupiKati ya Tunduma na Kahama wapi Kuna Malori? 🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Hizi ni takataka utaamin kuwa takataka baada ya miaka miwili hizo huku kwetu mabanda ya nguruwe
Ujenzi soko kuu shinyangaView attachment 2546713
View attachment 2546716
Soko kuu hili hapa mzee na hadi soko la mazao la mkoa linalo jengwa makambako limewazidi kwa uzuri
Huu ndo mkoa wa njombe ulio barikiwa Kila idara afu ndo mnatuletea kushinda a na jangwa la shinyangaWagen wajaView attachment 2546712