ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,415
- Thread starter
-
- #12,821
We boya kweli,ziko wapi we mshamba wa gulio la Kahama? Kuleta waraka Kwa wakllosai bila picha hakuna mtu atakuamini.Kahama zipo toka zaman em toa ujinga [emoji23]
Ahsante kwa taarifa muda ukifika nitaifutilia, matukio kama haya ya Mubashara huwa yananipita, leo sitoki kwenye tv[emoji41][emoji41][emoji846][emoji846]CSR [emoji28][emoji28].. Migodi haina faida ,,,ni ya wazungu..alisikika mnyiha mmoja Toka kampi katoto akiropokwa[emoji28]View attachment 2536351
Njaa ni mbaya sana,mtakula car? 😁😁😁CSR [emoji28][emoji28].. Migodi haina faida ,,,ni ya wazungu..alisikika mnyiha mmoja Toka kampi katoto akiropokwa[emoji28]View attachment 2536351
Mbeya mpo [emoji12][emoji12]Njaa ni mbaya sana,mtakula car? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani hapa ni wapi kama sio Mwanza CBD? Kama Iringa tuu maana Mbeya tuna CBD 2 kama DarMbeya mpo [emoji12][emoji12]
Huu mtaa unatosha kuichakaza hyo CBD yenu [emoji28]View attachment 2536655
Huyo ni mtaa wa uswazi wa rufiji 2km from cbd🤒🤒🤒Kwani hapa ni wapi kama sio Mwanza CBD? Kama Iringa tuu maana Mbeya tuna CBD 2 kama Dar
Kama 2km ni Nje ya CBD hiyo CBD ni mita ngapi? 🤪🤪Huyo ni mtaa wa uswazi wa rufiji 2km from cbd🤒🤒🤒
Ziko wapi hizo CBD kama darKwani hapa ni wapi kama sio Mwanza CBD? Kama Iringa tuu maana Mbeya tuna CBD 2 kama Dar
Sokomatola na MwanjelwaZiko wapi hizo CBD kama dar