The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Jamaa una matatizo ya akili au unaamua kufanya makusudi, kwa hiyo kwenye tangazo hilo umeiona mbeya tu??GDP ya Mbeya ileeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Soma vizuri na linganisha hekta zinazohusika ndio uje kuropoka tena πJamaa una matatizo ya akili au unaamua kufanya makusudi, kwa hiyo kwenye tangazo hilo umeiona mbeya tu??
Ko hekta nyingi ndio GDP ...tuna vijana wa hovyo sana kwenye hili taifaSoma vizuri na linganisha hekta zinazohusika ndio uje kuropoka tena [emoji116]View attachment 2479036
Mjawapo wa hovyo ni wewe hapo,kwamba hekta nyingi hazichangii uzalishaji mkubwa na kuongeza zaidi GDP? Wewe ni zero brain kabisaKo hekta nyingi ndio GDP ...tuna vijana wa hovyo sana kwenye hili taifa
Hekta nyingi za kilimo Cha nini ...je hayo mazao value yake ikoje ,,... hekta 20 za mahindi ni sawa na hekta 5 za ufuta ,au hekta 10 za pamba .....acha kuropoka kijanaMjawapo wa hovyo ni wewe hapo,kwamba hekta nyingi hazichangii uzalishaji mkubwa na kuongeza zaidi GDP? Wewe ni zero brain kabisa
Mama yupo kazin [emoji116]
Ndio Barabara za mitaani kwenu hizo? π€£π€£π€£Mama yupo kazin [emoji116]View attachment 2479055
Wapi walipokuambia wanalima mahindi? Acha uzwazwa wewe,humor yanalimwa mazao ya kimkakati tuu kama alizeti,ngano,soya.Hekta nyingi za kilimo Cha nini ...je hayo mazao value yake ikoje ,,... hekta 20 za mahindi ni sawa na hekta 5 za ufuta ,au hekta 10 za pamba .....acha kuropoka kijana
Eti mazao ya kimkakati...mbona kigoma huisemi yenye hekta 860000 ....Wapi walipokuambia wanalima mahindi? Acha uzwazwa wewe,humor yanalimwa mazao ya kimkakati tuu kama alizeti,ngano,soya.
Hayo mashamba yanaratibiwa na Wizara ya Kilimo Moja kwa Moja so humo ndani hakuna quantity tuu bali quality pia..Eti mazao ya kimkakati...mbona kigoma huisemi yenye hekta 860000 ....
GDP inaangalia value na sio quantity..take care brother
We kweli ,,,ni WA hovyo ..hivyo vibarabara Kila siku unavirudia rudia ..vipicha vile vile vya barabara za TARURA,,,,Hakuna Mji wowote wa huko Kwa wavuvi kuanzia Mwanza Hadi Bukoba plus other villages zinaweza fikia Barabara na street roads za Sumbawanga.
Ndio maana nikiwaambia leta Barabara mnapoteana [emoji16][emoji16].
Na mie naendelea kupiga kwenye utosi.
Sumbawanga again [emoji116]View attachment 2479121View attachment 2479123View attachment 2479126View attachment 2479129View attachment 2479131View attachment 2479132View attachment 2479134View attachment 2479137View attachment 2479139View attachment 2479140
Sio mmWe kweli ,,,ni WA hovyo ..hivyo vibarabara Kila siku unavirudia rudia ..vipicha vile vile vya barabara za TARURA,,,,
Hyo sumbawanga imeizidi mbeya tu[emoji116]View attachment 2479175
Ilemela is hot[emoji116]Hakuna Mji wowote wa huko Kwa wavuvi kuanzia Mwanza Hadi Bukoba plus other villages zinaweza fikia Barabara na street roads za Sumbawanga.
Ndio maana nikiwaambia leta Barabara mnapoteana [emoji16][emoji16].
Na mie naendelea kupiga kwenye utosi.
Sumbawanga again [emoji116]View attachment 2479121View attachment 2479123View attachment 2479126View attachment 2479129View attachment 2479131View attachment 2479132View attachment 2479134View attachment 2479137View attachment 2479139View attachment 2479140
Wenye chuki wanasema hapa ni Abu Dhabi..[emoji28][emoji116] na sisi tunasema yes[emoji106]hii ni Abu Dhabi musoma [emoji116]Hakuna Mji wowote wa huko Kwa wavuvi kuanzia Mwanza Hadi Bukoba plus other villages zinaweza fikia Barabara na street roads za Sumbawanga.
Ndio maana nikiwaambia leta Barabara mnapoteana [emoji16][emoji16].
Na mie naendelea kupiga kwenye utosi.
Sumbawanga again [emoji116]View attachment 2479121View attachment 2479123View attachment 2479126View attachment 2479129View attachment 2479131View attachment 2479132View attachment 2479134View attachment 2479137View attachment 2479139View attachment 2479140
Yaheeh! Acha makasiriko kama umeshikwa matakoo,weka Barabara π€£π€£We kweli ,,,ni WA hovyo ..hivyo vibarabara Kila siku unavirudia rudia ..vipicha vile vile vya barabara za TARURA,,,,
Hyo sumbawanga imeizidi mbeya tu[emoji116]View attachment 2479175