Kahama VS Njombe/Mafinga

hivi mbeya ilikuwaje jiji kama ndio tujengo twa kuokoteleza kama hvyo
ktk vigezo vya tz ili manispaa iwe jiji hakuna sehem ilo andikwa kuwe na magorofa mangap,magorofa siyo kigezo cha msingi.ingekua magorofa ni kigezo cha kua jiji bas hata moshi,iringa,morogoro zinge kua majiji, vigezo vya jiji wana zingatia xna population,mapato,ukubwa wa eneo,na huduma za jamii kama vyuo,hospitali,na viwanda.
 
Tulia wew ... vigezo ni hivi hayo ni maoni yako ..
Zingatia maana ya kigezo namba 3sifa zingine ambazo hazipatikani kwenye manispaa ..means miundombinu Bora...sasa kama huna majengo mengi marefu ,,unatofautishwaje na iringa,maana yake huna sifa za ziada za kuizidi iringa .....
Vigezo vyote isipokuwa maybe Cha mapato , mbeya haina .....
Lini mbeya ilikuwa na watu laki 5
View attachment 2468145
 
Vigezo vya jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…